twafa-kali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 251
- 211
Unanitia mzuka mkuu. Sie wa NMB karibia tunaumaliza weyeee ndo unaingiziwa. .....Crdb oyeeeeeeee
Unanitia mzuka mkuu. Sie wa NMB karibia tunaumaliza weyeee ndo unaingiziwa. .....Crdb oyeeeeeeee
CrdbBenki gani mkuu?
WEeee spinderella hakuna namna we uwape tu riba yao crdb through salary advance. .teh tehBenki gani mkuu?
We acha tu mkuu bado kidogo tu nijisalimisheWEeee spinderella hakuna namna we uwape tu riba yao crdb through salary advance. .teh teh
Hahahh best yangu itabidi nikiingiziwa wangu nikukaribishe mkopo kwa riba.Unanitia mzuka mkuu. Sie wa NMB karibia tunaumaliza weyeee ndo unaingiziwa. .....
Hilo agizo la mungu kupendana lilikuwa kipindi cha mkwere mzee wa msoga. Alivyoondoka akaondoka nalo hilo agizo hilo takatifuEwe rafiki mwenye akaunti NMB hebu njoo tutete kidogo bana............ Mungu kaagiza tupendane bana. 😀😀😀
I see.....Hilo agizo la mungu kupendana lilikuwa kipindi cha mkwere mzee wa msoga. Alivyoondoka akaondoka nalo hilo agizo hilo takatifu
Duh imesoma kweli, ulimi wote nje lakiniCrdb
Hahahaa na tunapiga mbizi kweli mkuuu .kila mtu anapambana na pumzi yakeeKama huwezi kilipa nauli ya Pantoni piga mbizi
Umesema kweli kabisa.Watumishi tubadilike kwakweli! Kila mwisho wa mwezi "broke".
View attachment 615970
Bi dada tupinge urafiki ninaomba dia!! ......hahahahahDuh imesoma kweli, ulimi wote nje lakini
HahahahaaBi dada tupinge urafiki ninaomba dia!! ......hahahahah
Hongera spinderella.Duh imesoma kweli, ulimi wote nje lakini
Haijaongezeka hata shillingi mkuu.... Mungu anamuona.Hongera spinderella.
Mwenzetu Uncle amekuongezea malaki mangapi
Vipi kale kanyongeza kutokana na ahadi ya mkuu kapo?Kitu tayari wakuu
Mbona kigamboni hapo tu!!!!!!!! miaka miwili inatosha utakuwa umefikaHahahaa na tunapiga mbizi kweli mkuuu .kila mtu anapambana na pumzi yakee

. Tukutane tena mwezi ujao wadau. Spend wisely!hahahah mydia umenifanya nicheke nipunguze machungu ya kuzidisha muda wa kazi serikalini......... nipe matumaini dadangu nipite Ikulu ATM nini........... Maana dah Kimei nimemmindNaona uzi umepumua sasa. Tukutane tena mwezi ujao wadau. Spend wisely!
Hahaha pitia tu mkuu.hahahah mydia umenifanya nicheke nipunguze machungu ya kuzidisha muda wa kazi serikalini......... nipe matumaini dadangu nipite Ikulu ATM nini........... Maana dah Kimei nimemmind