Ni ngumu sana kujifunza kiswahili!Vyuma vimekaza nini?
Hajawahi kujisikia! Hapo utasubiri sana!Kitu 2020.
Hawategemei kura za watumishi.So hamna cha kufanya mpaka Bwana mkubwa atakapo jisikia.Tumuombee!!
😀😀😀😀😀😀 Bado sana MkuuWajameni kuna mtu amenitonya Magu ashaachia muda si mrefu.Wenye NMB na CRDB mobile hebu ingieni fasta leteni mrejesho
Kacheki kijanaaaKweli au zuga![]()
Kazi ipo hakika ni noma😀😀😀😀😀😀 Bado sana Mkuu
Ni laki tano Mara tano ukizingatia familia zinazoathirika!Mkuu si mliambiwa hata hamuwezi kubabaisha mtu kwani kura zenu ni laki tano tu,hata msipopiga haisumbui
hahaahaa kumbe Magu alivyosema mwezi ujao ataongeza mishahara ...,ni mwezi huu??Jamaniiiii mliokuwa mnaulizia mshahara Wa October nendeni mkaangalie akaunti zenu... 10 percent +
Inawezekana mim nimeangalia naona ina load tu bila majibu labda ndo wanawekaFix tu




Wajameni kuna mtu amenitonya Magu ashaachia muda si mrefu.Wenye NMB na CRDB mobile hebu ingieni fasta leteni mrejesho
bado, wamewazingua tumzigo umetema nasikia
Mi nishapokea chenga tu hakuna kipyaInawezekana mim nimeangalia naona ina load tu bila majibu labda ndo wanaweka![]()
tayari wewee.bado, wamewazingua tu
Hakuna ongezekoMi nishapokea chenga tu hakuna kipya