twafa-kali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 251
- 211
Wajameni hakuna yeyote akaunti yake imejazwa tayari Leo??
Wajameni hakuna yeyote akaunti yake imejazwa tayari Leo??
Mshahara! Mshahara!Subirini tu hadi 2020
Bado dakika 30 za nyongezaMie kwangu bado 0-0 dk ya 90+2 sasa.
Watumishi tubadilike kwakweli! Kila mwisho wa mwezi "broke".Bado dakika 30 za nyongeza
Mkuu si mliambiwa hata hamuwezi kubabaisha mtu kwani kura zenu ni laki tano tu,hata msipopiga haisumbuiKuna mtumishi ambae mpaka leo hii bado ana imani na serikali hii..??duh mimi mbwembwe zao tu mwanzoni nikajua hawana pumzi hawa.
Mkuu huenda wanataka waiongeze kwanza alafu ndo wawaingizieSerikali huko nyuma imekuwa ikitoa mishahara ya watumishi wa umma kwenye tarehe 21 kila mwezi lakini mwezi huu imechelewa kutoa mishahara hiyo kutokana na uchumi kuyumba hii ni ishara tosha kuwa nchi yetu imeshuka kiuchumi .