Nasubiri mshahara wa Octoba 2017

Nasubiri mshahara wa Octoba 2017

Hahaha pitia tu mkuu.
Epheeeeewwww ahsante dia..............ila natumbukia nyongo ngoja nifunge preck nadaiwa school trip ya mtoto uwiii............... kiu ya Serengeti leo koma.......maziwa yapo
 
Epheeeeewwww ahsante dia..............ila natumbukia nyongo ngoja nifunge preck nadaiwa school trip ya mtoto uwiii............... kiu ya Serengeti leo koma.......maziwa yapo
Hahahahaa
 
Naona uzi umepumua sasa. Tukutane tena mwezi ujao wadau. Spend wisely!
Sure. Kipindi hiki cha huyu chuma tingatinga nyuzi kama hizi ni inevitable kila inapokaribia mishahara.
Anyway zinasaidia kupunguza maumivu kidogo kwa kucheka kwa comments za baadhi ya watu humu ndani.

Lakini pia ni sehemu ya kujifariji kuwa kumbe siyo wewe pekee uliyebakia na hela ya nauli tuu ya kukufikisha job hasa ktk dakika za mwisho za majeruhi

See you again next month
 
Ni vizuri kuishi kwa matumaini! Ila watumishi wako 600,000 wakati matarajio yamepangwa kwa watu 59,000 tu. Kama heslb vile, kati ya 61,000 ikapangwa wapewe 30,000 tu!
Kama ndio hivyo hao heslb basi wana nafuu maana ni karibia 50%, hiyo ya watumishi ni hopeless.
 
Mwaka huu watumishi tutahakikiwa umri kwa carbon 14
 
Back
Top Bottom