Nasubiri mshahara wa Octoba 2017

Nasubiri mshahara wa Octoba 2017

Kwani mwisho wa mwezi ni lini?
Ulipokuwa unapewa tarehe 21 badala ya 30 mshahara ulikuwa ni haki yako au la?

Issue sio trh 21 au 30. Issue ni inconsistency. Mshahara wa mwezi maana yake ni kila baada ya siku thelathini. Inawezekana trh 20 hadi 20 au teh 30 hadi 30. Sio kuruka ruka kama changudoa.
 
Kuna kiashiria chochote cha "vyama vya siasa" katika post yangu? Usijiandikie tu uharo kama nguchiro 😀😀😀. Watu wanaulizia mshahara wa mwezi wa kumi. Kuna inconsistency inaonekana maana kwa muda mrefu mshahara unaingia mapema. Ghafla mwezi huu, mshahara unaonekana kucheleweshwa.
Usiropoke tu, ukimuita mwenzako stupid jua kabisa kwamba hajapenda.

Kama hoja ni kuulizia mshahara mambo ya kufilisika serikali yanatoka wapi? Ivi mshahara ukichelewa sababu inakua ni kufilisika kwa serikali tu?

Njaa zitawaua nyie wafia vyama.

Wasalimieni wezi wenzenu wa ccm na chadema
 
Usihamishe magoli. Issue ni mshahara umechelewa. Kulikoni? Usiwawekee mipaka watu katika speculations zao. Kwanza wewe unaonekana ni kati ya wafagizi wa lumumba. Huna mshahara bali posho kutoka kwa humphrey.😛😛😛
 
Kama mshahara umechelewa acha kazi nenda kajiajiri.

Sasa unalialia humu ulisikia jf inatoa mishahara?

Ccm utajiunga wewe

Chadema utajiunga wewe.

Mimi ni mwanaume sitangazi njaa.
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu majina yameanikwa!!!!!
 
Sasa jipya lako ni kutafuta mambo ya kitoto kama haya?

Kwani huko ccm kwenu au huko chadema kwenu mnalishwa nini mpaka mnakua matahira namna hii?
Hivi ni kweli kwamba hakuna mambo ya kujadili au kuanzisha mada zaidi ya huu utoto wa kuzungumzia mshahara?

Alafu unaweza kukuta nawewe ni mtu mzima na una familia eti

Ooh mishahara imechelewa hii ni ishara serikali imefilisika! We unadhani serikali inafilisika kirahisi namna hiyo? Sasa wakiamua kulipa leo au kesho utaleta mada gani tena kwamba serikali imekua tajiri au

Wakuu JF ni jukwaa kubwa sana tujitahidi kuandika vitu vyenye maana na vyenye uzito, sio huu utoto wa mistari mitano unapost
Msalimie mwenyekiti wa ccm lumumba
 
Kama mshahara umechelewa acha kazi nenda kajiajiri.

Sasa unalialia humu ulisikia jf inatoa mishahara?

Ccm utajiunga wewe

Chadema utajiunga wewe.

Mimi ni mwanaume sitangazi njaa.

Hata matonya alikuwa mwanaume mjinga wewe.
Usimpangie mtu cha kusema humu jf. Control kaifanye kwa mumeo huko lumumba, sio hapa.
Mshahara ni haki ya mfanyakazi. Kwa nini aache kazi? Huko ni kutojitambua. Ndio tabia zenu wafagizi wa lumumba.
 
Kuiamini serikali hii ni kama ile kauli ambayo tulikuwa tukifundishwa kanisani "Kesheni mkiomba Yesu atarudi"!
Mfano mbaya! Yesu ni kweli atarudi, lakini akirudi Leo je uko tayari kumlaki mawinguni? Anakusubiri uokoke kwanza maana akirudi kabla hujaokoka ni hatari sana! Ukiachwa utaishia jehanamu! Lakini uvumilivu na subira yake kuna siku itafikia mwisho! Hima uokoke Leo!
 
Hata matonya alikuwa mwanaume mjinga wewe.
Usimpangie mtu cha kusema humu jf. Control kaifanye kwa mumeo huko lumumba, sio hapa.
Mshahara ni haki ya mfanyakazi. Kwa nini aache kazi? Huko ni kutojitambua. Ndio tabia zenu wafagizi wa lumumba.
Lazima utokwe povu
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu majina yameanikwa!!!!!
Acha utani
 
Mfano mbaya! Yesu ni kweli atarudi, lakini akirudi Leo je uko tayari kumlaki mawinguni? Anakusubiri uokoke kwanza maana akirudi kabla hujaokoka ni hatari sana! Ukiachwa utaishia jehanamu! Lakini uvumilivu na subira yake kuna siku itafikia mwisho! Hima uokoke Leo!
Umeona ee?
 
Back
Top Bottom