Nassari; ndoto zako za kumuoa MDEE hazibadilishi yeye kuwa Mbunge wa Kawe

This is not serious, Mdee is about 32yrs na Nassar yuko na miaka 26! Hiyo ilikuwa porojo ya kisiasa na ndio maana ilijibiwa kiporojo porojo! Dont take it serious bro
 
mbona haieleweki? ni wivu au kitu gani hicho. unashangaa kauli ya Nasari wakati kulikuwa na kauli za ajabu za CCM wenzako hazina macho wala miguu. ameshashinda sasa sijui utafanyaje? kwani hata kama akiamua kumwoa we unajisikiaje? wewe hujaolewa unataka akuoe?
 
Hiyo hoja si hoja. Kwani Halima Mdee si mwanamke? Sasa akiolewa na Nassari au akiamua kutokuolewa inawahusu nini? Acheni kujadili mambo private. Jadilini issues. Stupid!!
 
[h=2]Nassari; ndoto zako za kumuoa MDEE hazibadilishi yeye kuwa Mbunge wa Kawe[/h]
Iwapendeze wakuu;

Akiwa katika harakati za kumjibu Wassira juu ya swala lake la kutochaguliwa kwa kuwa hana mke kijana huyu (Joshua Nassari) mbele ya Kiongozi wake wa Kitaifa alitamka kuwa akiwa Mbunge basi atamuoa Mhe. Halima Mdee ili Jimbo lake la Arumeru Mashariki linufaike mara dufu kwa kuwa na Wabunge wawili.

Nimeshindwa kujua kama ni akili zake ama ni za jirani manake nimejiuliza; Je ni kweli kwamba hajui ama hafahamu kuwa hata akijaliwa hilo ambalo yeye amesema anamwomba Mungu ili litimie haliwezi kamwe kubadilisha nafasi aliyo nayo Halima katika kutekeleza wajibu wake kwa watu wa Kawe na vitongoji vyake?? Lakini hata kama ni ndoto hivi kumbe anachotaka yeye si tu kumuoa Halima kama mke bali anataka kufaidi ama kupata faida kutoka kwa Halima kwa kupitia nafasi aliyo nayo kama Mbunge!

Vijana kwa kweli kazi tunayo ugonjwa ni ule ule wa kujibizana na kukosa kipi cha kuzungumza kwa wakati gani???​



Stop writing nonsense. Najuwa ni haki yako kuandika lakini andika jambo ambalo linajadilika
 
Sidhani kama haelewi hilo jambo, na sidhani kama alivyosema alikuwa kweli anamaanisha hivyo. Nafikiri unaweza kuelewa kuwa alisema tuu...a sense of humor hivi..Usijali kuhusu hilo.
 
Back
Top Bottom