EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,357
Pasco wa JF anadai kimenuka huko Dodoma.
Wazee wamekuja na vigezo vipya kuwapiga vijana chini
Ndio maana William alikuja fasta fasta kuanzisha hii thread kuomba kura za wapinzani kwa kumfagilia Nassari.
Yaani hivyo vigezo hapo juu ha-meet hata kimoja.
Hana shahada ya sheria ama uchumi.
Kwenye thread yake alisema haendekezi diplomasia
Labda kigezo cha umri anaweza akafanya kama Lulu.
Wazee wamekuja na vigezo vipya kuwapiga vijana chini
1. Umri- eti CCM ichague wagombea wenye umri mkubwa kama uthibitisho wa long expiriance ya uzoefu wa muda
mrefu! .
2. Awe na shahada ya Chuo Kikuu ama ya Sheria, ama ya Uchumi kwa hoja kuwa kule kuna issues za kisheria na
issues za kiuchumi!.
3. Uzoefu wa kidplomasia.