Nassari: Mungu aibariki Tanzania!

- Mkuu heshim yako sana naona unachanganya kati ya Uongozi na Personality, niliongelea personality he is a great guy, kiuongozi sijui maana sijaona akiongoza, otherwise uwe amani!

William.

Akina Mbowe na Slaa unaowatukana mara kwa mara hapa JF ndio waliomfunza how to be a great guy.

534984_3760168641992_1209820481_33740687_751021859_n.jpg
 
- Mkuu heshima yako sana, sijawahi kumtukana anybody hapa au nje ya hapa, Mh. Mbowe ni rafiki yangu wa karibu sana toka tukwia wadogo, na kwa taarifa yako siku moja in the 80s aliwahi kupata ajali ya gari pale Salender saa Nane za usiku mimi ndiye niliyekwua wa kwanza kufika pale na kumpeleka Muhimbili Hospital, sasa haya majungu yako ya uchonganishi ni bure sana, infact jana I ahd a great time with him kwenye Canteen ya Bunge.

- Dr. Slaa I have a lot of respect for his Leadership skills, nimewahi kumkosoa na hasa kwenye uchaguzi wa Rais uliopita, kwa sababu sikuamini na mpaka leo siamini kwamba Chama chenye Wabunge 48 kilishinda Urais against chama chenye Wabunge 250 ni Simple Common Sense kwamba it is impossible unless wewe na yeye mna mifano hai ya kuonyesha ukweli wa hilo.

- Nimesema mara nyingi sana kule Facebook na hapa kwamba, Mh. Mbowe knoowing him as I do, hakuwa na sababu yoyote ya kuhangaika na wananchi kwa sababu hajawahi kuwa na shida ya pesa wala njaa, lakini ninaheshimu sana the fact kwamba ameamua kuwa mleta mapinduzi kwa wananchi wa hali ya chini, and again ninamuheshimu sana Dr. Slaa kwa kubadilisha Siasa zetu na kuzipeleka to another level hazitakuja kurudia tena kama zamani za kuogopana kuambiana ukweli,

- HOWEVER: I remain CCM member, tena mpaka kwenye damu yangu, ninataka mapinduzi na mabadiliko kwa wananchi na taifa letu, ninasema tena wengine tulete haya mawazo kutokea ndani ya CCM na wengine mje kutokea Upinzani, tusaidie taifa letu, zile siasa za uadui hazipo tena mkuu wangu, na uwe na siku njema!

- Mimi nipo hapa Bungeni Canteen na Wabunge wote wa taifa yaani wa CCM na Upinzani, kwa pamoja siasa sio uadui!

William.
 
Hii picha inanikumbusha kauli ya ticha angu Mwenge, alikuwa akiita watu ''Mkubwa umbo tu, kichwani maji'', ila siamini kama Willie ni mkubwa umbo tu lazima ana madini kichwani! eti wadau? ila haka kamfumo ka-kifisadi kana mnufaisha hawezi kuwa mwenzetu
Akina Mbowe na Slaa unaowatukana mara kwa mara hapa JF ndio waliomfunza how to be a great guy.

534984_3760168641992_1209820481_33740687_751021859_n.jpg
 
- Mkuu heshima yako sana, sijawahi kumtukana anybody hapa au nje ya hapa, Mh. Mbowe ni rafiki yangu wa karibu sana toka tukwia wadogo, na kwa taarifa yako siku moja in the 80s aliwahi kupata ajali ya gari pale Salender saa Nane za usiku mimi ndiye niliyekwua wa kwanza kufika pale na kumpeleka Muhimbili Hospital, sasa haya majungu yako ya uchonganishi ni bure sana, infact jana I ahd a great time with him kwenye Canteen ya Bunge.

- Dr. Slaa I have a lot of respect for his Leadership skills, nimewahi kumkosoa na hasa kwenye uchaguzi wa Rais uliopita, kwa sababu sikuamini na mpaka leo siamini kwamba Chama chenye Wabunge 48 kilishinda Urais against chama chenye Wabunge 250 ni Simple Common Sense kwamba it is impossible unless wewe na yeye mna mifano hai ya kuonyesha ukweli wa hilo.

- Nimesema mara nyingi sana kule Facebook na hapa kwamba, Mh. Mbowe knoowing him as I do, hakuwa na sababu yoyote ya kuhangaika na wananchi kwa sababu hajawahi kuwa na shida ya pesa wala njaa, lakini ninaheshimu sana the fact kwamba ameamua kuwa mleta mapinduzi kwa wananchi wa hali ya chini, and again ninamuheshimu sana Dr. Slaa kwa kubadilisha Siasa zetu na kuzipeleka to another level hazitakuja kurudia tena kama zamani za kuogopana kuambiana ukweli,

- HOWEVER: I remain CCM member, tena mpaka kwenye damu yangu, ninataka mapinduzi na mabadiliko kwa wananchi na taifa letu, ninasema tena wengine tulete haya mawazo kutokea ndani ya CCM na wengine mje kutokea Upinzani, tusaidie taifa letu, zile siasa za uadui hazipo tena mkuu wangu, na uwe na siku njema!

- Mimi nipo hapa Bungeni Canteen na Wabunge wote wa taifa yaani wa CCM na Upinzani, kwa pamoja siasa sio uadui!

William.

Kama unanufaika na system ya kifisadi kwa uhakika regarding surname CCM uikimbie ili iweje?, MASIKINI NA WANAE, TAJIRI NA MALI ZAKE
 
Huyu jamaa wa ajabu sana. Kwa hiyo unataka Mbowe akulipe fadhila kisa ulimpeleka Hospitali alipopata ajali? Leo unasema kwamba huamini kuwa Chama chenye Wabunge 48 ni vipi kilishinda urais dhidi ya chama chenye Wabunge 250. Hivi hujui kwamba kuna majimbo 130 ambayo Chama chako Kilichakachua. Hujui kwamba TARIME, SHINYANGA, SEGEREA, MWIBARA, KIGOMA MJINI, SUMBAWANGA, KARAGWE, BUNDA, ARUMERU MASHARIKI nk tulishinda! You are very Fool.

Alafu unapinga kwamba hujawai kumtukana Mbowe wala Slaa. Una uhakika? Au unataka tukuwekee coment zako hapa kama reference!
 
- Unajua ni rahisi sana mlevi kuamini wengine wote ni walevi kama yeye, sasa CCM waliibha kura majimbo hayo tu mengine wakayacha wapinzani washinde? Halafu unajua mtu mpumbavu hujionyesha kwa picha ya profile yake na maneno yake, ukweli ni kwamba wewe ndiye mpumbavu wa kutupwa tizama maneno yako ni hakika unaandikia ukiwa Mirembe! ha! ha! ha! ha!

Es!
 
Huyu jamaa wa ajabu sana. Kwa hiyo unataka Mbowe akulipe fadhila kisa ulimpeleka Hospitali alipopata ajali? Leo unasema kwamba huamini kuwa Chama chenye Wabunge 48 ni vipi kilishinda urais dhidi ya chama chenye Wabunge 250. Hivi hujui kwamba kuna majimbo 130 ambayo Chama chako Kilichakachua. Hujui kwamba TARIME, SHINYANGA, SEGEREA, MWIBARA, KIGOMA MJINI, SUMBAWANGA, KARAGWE, BUNDA, ARUMERU MASHARIKI nk tulishinda! You are very Fool.

Alafu unapinga kwamba hujawai kumtukana Mbowe wala Slaa. Una uhakika? Au unataka tukuwekee coment zako hapa kama reference!

- Labda ungeuweka huo ushahidi wa matusi kwa Mh. Mbowe na Dr. Slaa, si JF huwa hatuongei maneno matupu mkuu, weka ushahidi hapa wa hayo matusi, otherwise nipo Bungeni hapa na kina Nassari, Sugu, Silinde, Vincent, Mh. Mbowe saafi sana hapa bungeni, Dodoma!

William @Dodoma City!
 
- Mkuu heshima yako sana, sijawahi kumtukana anybody hapa au nje ya hapa, Mh. Mbowe ni rafiki yangu wa karibu sana toka tukwia wadogo, na kwa taarifa yako siku moja in the 80s aliwahi kupata ajali ya gari pale Salender saa Nane za usiku mimi ndiye niliyekwua wa kwanza kufika pale na kumpeleka Muhimbili Hospital, sasa haya majungu yako ya uchonganishi ni bure sana, infact jana I ahd a great time with him kwenye Canteen ya Bunge.

- Dr. Slaa I have a lot of respect for his Leadership skills, nimewahi kumkosoa na hasa kwenye uchaguzi wa Rais uliopita, kwa sababu sikuamini na mpaka leo siamini kwamba Chama chenye Wabunge 48 kilishinda Urais against chama chenye Wabunge 250 ni Simple Common Sense kwamba it is impossible unless wewe na yeye mna mifano hai ya kuonyesha ukweli wa hilo.

Ningekuwa na muda wa kupoteza ningechimbua Hansards za JF kukuonyesha tuu maneno ambayo ulishawahi kuyasema hapa JF juu Mbowe na Dr Salaa. Unakumbuka kwenye ile thread ya kuwepo kwa harufu ya kufahamiana kwenye balozi zetu ulitela ubishi kuhusu watoto wa Mkapa, mpaka kumkana hata ndugu yako, tukakuletea Hansards kukudhibitishia kuwa ulishawahi kusema huko nyuma ni ndugu yako ukaikimbia thread?

Eti you have got a lot of respect for Dr Slaa's leadership skills. Unakumbuka kwenye zile threads za kumwuliza maswali Dr Slaa wewe, Faiza Foxy na Malaria Sugu mlikuwa unamwuliza nini? Umesahau au tayari ulishamwomba radhi? Au unadhania sie wengine tumesahau? Huwa sipendi kabisa kwenda personal lakini acha unafiki Mkuu. Sometimes, ni better ku-apologize and move on.

Hakuna haja ya kujipendekeza kwa wapinzani ili kupata kura zao ili hali ulikuwa unawatukana huko nyuma. Angalia sasa bila hata aibu unazitaka kura zao 48 kwa hali na mali, wakati unadai chama kilichokupitisha kina kura 250. Kama imefikia stage ya kuomba wapinzani kura zao 48 tuu, hapa sio kutuonyesha kuwa hata chama kilichokupitisha kinaelekea kukunyima kura 250?

Kama kweli una uwezo wa kuwa mbunge wa EAC kwa nini sasa inakuwa ngumu kupata hata nuzu hizo kura 250? Kama huna guarantee ya kupata hata nusu ya hizo kura 250, kweli utaweza kupata hizo kura 48 za wapinzani ambao umekuwa ukiwaponda? Eti upo Bungeni na kina Nassari, Sugu, Silinde, Vincent, Mbowe, etc. Mbona hutuambi pia uko na wabunge gani wa CCM?

Mkuu endelea kula matapishi yako. Ila hili liwe fundisho kwa wale wote wenye tabia ya kutukana ovyo watu wengine halafu baadae wanakuja kugombea nyadhifa za uongozi na kujikuta wanakuwa matapishi yao kwa kuwategemea tena wale waliowatukana.
 
- Where we dare, weka usahidi hapa wa matusi yangu kwa Mh. Mbowe na Dr. Slaa, kama huna kama ninavyojua kuwa the FACT bora kunyamaza bnadala ya kujaribu kuunganisha hoja zisizo na mshiko, weka ushahidi hapa wa matusi yangu kwa hao Viongozi wawili! ha! ha! ha! ha! ha! weka mkuu! ha1 ha! wacha hadithi za Alinacha!

- Nenda ufukue hansard zako zote uje na FACTS hapa, ha! ha! ha! maneno mengu chuki tupu na wivu, tunasema hivi sasa ni wakati wa kurudi bongo na kuingia wenyewe kwenye kubadilisha Taifa, badala ya kusubiri kufanyiwa na wengine na kulia lia kila siku!

William.
 
- Halafu unajua mtu mpumbavu hujionyesha kwa picha ya profile yake na maneno yake, ukweli ni kwamba wewe ndiye mpumbavu wa kutupwa tizama maneno yako ni hakika unaandikia ukiwa Mirembe! ha! ha! ha! ha!

Es!

Nashukuru kwa taarifa Mpumbavu mwenzangu! Mi ndiyo nipo Mirembe Block A kitanda namba 5. Vipi mwenangu upo Block gani na kitanda namba ngapi?
 
- Dr. Slaa I have a lot of respect for his Leadership skills, nimewahi kumkosoa na hasa kwenye uchaguzi wa Rais uliopita, kwa sababu sikuamini na mpaka leo siamini kwamba Chama chenye Wabunge 48 kilishinda Urais against chama chenye Wabunge 250 ni Simple Common Sense kwamba it is impossible unless wewe na yeye mna mifano hai ya kuonyesha ukweli wa hilo.

Hapo kwenye red;uliaminije Joshua Nassari kushinda kuwa mbunge pasipo kuwa na diwani hata mmoja?
 
- Labda ungeuweka huo ushahidi wa matusi kwa Mh. Mbowe na Dr. Slaa, si JF huwa hatuongei maneno matupu mkuu, weka ushahidi hapa wa hayo matusi!

William @Dodoma City!

Ningekuwa na muda wa kupoteza ningechimbua Hansards za JF kukuonyesha tuu maneno ambayo ulishawahi kuyasema hapa JF juu Mbowe na Dr Salaa.

Nipeni muda. Ntabandika ushahidi hapa muda si mrefu!
 
Otherwise nipo Bungeni hapa na kina Nassari, Sugu, Silinde, Vincent, Mh. Mbowe saafi sana hapa bungeni, Dodoma!

William @Dodoma City!

Alafu usidhani kukaa pamoja na kina Nassari, Sugu, Silinde, et al ndio umepata kura zao. Hao unaowataja sisi ndio tumewaajiri na kuwapelekea huko. Sisi ndio Mabosi wao kwa maana ya wapiga kura wao. Tulishawaambia hakuna kura kwa William Malecela. Sasa wewe poteza muda hapo na kujifariji kwamba utapata kura. Walai nakwambia hupati kura za Wabunge wetu wa CHADEMA. Kajikite kwa magamba wenzako.
 
- Mkuu heshima yako sana, sijawahi kumtukana anybody hapa au nje ya hapa, Mh. Mbowe ni rafiki yangu wa karibu sana toka tukwia wadogo, na kwa taarifa yako siku moja in the 80s aliwahi kupata ajali ya gari pale Salender saa Nane za usiku mimi ndiye niliyekwua wa kwanza kufika pale na kumpeleka Muhimbili Hospital, sasa haya majungu yako ya uchonganishi ni bure sana, infact jana I ahd a great time with him kwenye Canteen ya Bunge.

- Dr. Slaa I have a lot of respect for his Leadership skills, nimewahi kumkosoa na hasa kwenye uchaguzi wa Rais uliopita, kwa sababu sikuamini na mpaka leo siamini kwamba Chama chenye Wabunge 48 kilishinda Urais against chama chenye Wabunge 250 ni Simple Common Sense kwamba it is impossible unless wewe na yeye mna mifano hai ya kuonyesha ukweli wa hilo.

- Nimesema mara nyingi sana kule Facebook na hapa kwamba, Mh. Mbowe knoowing him as I do, hakuwa na sababu yoyote ya kuhangaika na wananchi kwa sababu hajawahi kuwa na shida ya pesa wala njaa, lakini ninaheshimu sana the fact kwamba ameamua kuwa mleta mapinduzi kwa wananchi wa hali ya chini, and again ninamuheshimu sana Dr. Slaa kwa kubadilisha Siasa zetu na kuzipeleka to another level hazitakuja kurudia tena kama zamani za kuogopana kuambiana ukweli,

- HOWEVER: I remain CCM member, tena mpaka kwenye damu yangu, ninataka mapinduzi na mabadiliko kwa wananchi na taifa letu, ninasema tena wengine tulete haya mawazo kutokea ndani ya CCM na wengine mje kutokea Upinzani, tusaidie taifa letu, zile siasa za uadui hazipo tena mkuu wangu, na uwe na siku njema!

- Mimi nipo hapa Bungeni Canteen na Wabunge wote wa taifa yaani wa CCM na Upinzani, kwa pamoja siasa sio uadui!

William.

Safi sana willie, msimamo unahusika sana! Jana ulikula nin kantini? Chapati ngap?
 
matoto ya viongozi wale wale walioharibu taifa, ndo yanataka kutuongoza. Hivi tumelogwa?
 
Back
Top Bottom