Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,498
Picha inamdefine mwanzo mwisho...Huyu Bwana ni Binadamu aliwekewa roho ya mnyamapori.Asiruhusiwe kuishi jirani na binadamu yeyote!.

Acha dharau kwa binadamu wenzako!
na binti yako ungejua ana mchumba/mpenzi wa MARA!
Ni mita mia hamsini mdau,yaan huyu jamaa hajakamatwa hadi leo,wakat mkenya wa KOVA AMEKAMATWA?Jamani nakumbuka Thread kuhusu hii Issue iliwahi kuwekwa hapa na Dark City(Babu DC) kumhusu huyu Mwanamke aitwaye Nasra wa Bunda,Mara aliefanyiwa kitendo cha kikatili na Mumewe ambapo alimgonga na Gari kisha kumburuta umbali wa KM 150 katika barabara ya Lami. Hizi ni picha zake nimezitoa Blog ya Dina Marios.
Nasra ameshafariki, Tuombe Mungu amlaze mahali pema peponi.
Dah Wanaume wenzangu this is too much!!
Wiki iliyopita tuliongea katika leo tena juu ya kisa cha Marehemu Nasra pichani.Mama huyu alikuwa mkazi wa Bunda mkoani Mara lakini Dar es salaam alifika kufanya matibabu katika hospital ya Muimbili.Kwa miaka takribani 23 alikuwa mke wa bwana Elia Makumbati na kujaaliwa kupata watoto wanne mkubwa kabisa yupo chuo kikuu cha UDOM.Kwa miaka yote wamekuwa na misuko suko sana kwenye ndoa mama akiwa anapigwa sana hata kuchanwa na viwembe.Hii ni picha ya muwewe Elia Makumbati ambae mpaka sasa anatafutwa na jeshi la polisi kwa kitendo cha kinyama alichokifanya.Jeshi la polisi mkoani Mara wanafanya juhudi za kila namna kumkamata lakini amekuwa akikimbia mara aonekane Kenya,Botswana na kwengineko lakini bado hajakamatwa.Kwa utakae muona usisite kutoa ripoti zake.Mpaka askari wa upelelezi wa kimataifa interpol ina taarifa zake.
Mwezi wa pili walitofautiana baada ya bwana kuoa mke mwingine.Wakiwa wametofautiana na Nasra kuendelea na maisha siku hiyo bwana akamfata akamkuta barabarani anatoka kazini.Akiwa na rafiki yake wanatembea akamfungia breki mguuni akamwambia anataka kuongea nae.Nasra akakataa akamwambia kama kuna maongezi hawezi kuongea nae kama vipi amfate nyumbani huku anaendelea kutembea.Bwana yule akamfata kwa nyuma akamgonga na gari na baada ya Nasra kuanguka akanasa chini hivyo kuendelea kumburuza umali wa kama mita 150 hivi.Alipofika kwenye tuta akanasuka bwana ndio kushuka kwenye gari kukimbia.
Kiukweli aliumia sana sana ngozi yote ya mgongoni,mbavuni,makalio,ikavuka na kubaki kwenye lami.Sikio lake la kushoto lote likaliwa na lami,mbavu 7 zilivunjika pamoja na mguu.Akapelekwa hospitali na baadae kulazwa Bugando Mwanza lakini ikawa anahitajika kuhamishiwa hospital ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.Akiwa muhimbili alikuwa na hali mbaya sana baadae ikathibitika kuwa ameumia ndani kwa ndani kwani alibadilika sana akavimba na kuwa mweusi.Kwamuda wote wa miezi takribani sita alikuwa katika maumivu makali na bahati mbaya hakuweza kupambana tena kupigania maisha yake.
Nasra pichani kulia mwenye kilemba chekundu akiwa na ndugu zake wakati akiwa mzima.
Usiku wa kuamkia jumanne ya tarehe 10 Nasra akaaga dunia.Ilikuwa ni huzuni sana jinsi alivyoteseka na namna mazingira ya kifo chake kilivyotokea.Tulikuwa na matumaini kuwa angeweza kupona maana dakika za mwisho alikuwa anaongea japo kwa shida.
Tunaomba mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Nasra mahala pema peponi,Amina.
Huyu Bwana ni Binadamu aliwekewa roho ya mnyamapori.
Asiruhusiwe kuishi jirani na binadamu yeyote!.
Jamani nakumbuka Thread kuhusu hii Issue iliwahi kuwekwa hapa na Dark City(Babu DC) kumhusu huyu Mwanamke aitwaye Nasra wa Bunda,Mara aliefanyiwa kitendo cha kikatili na Mumewe ambapo alimgonga na Gari kisha kumburuta umbali wa KM 150 katika barabara ya Lami. Hizi ni picha zake nimezitoa Blog ya Dina Marios.
Nasra ameshafariki, Tuombe Mungu amlaze mahali pema peponi.
Dah Wanaume wenzangu this is too much!!
Wiki iliyopita tuliongea katika leo tena juu ya kisa cha Marehemu Nasra pichani.Mama huyu alikuwa mkazi wa Bunda mkoani Mara lakini Dar es salaam alifika kufanya matibabu katika hospital ya Muimbili.Kwa miaka takribani 23 alikuwa mke wa bwana Elia Makumbati na kujaaliwa kupata watoto wanne mkubwa kabisa yupo chuo kikuu cha UDOM.Kwa miaka yote wamekuwa na misuko suko sana kwenye ndoa mama akiwa anapigwa sana hata kuchanwa na viwembe.Hii ni picha ya muwewe Elia Makumbati ambae mpaka sasa anatafutwa na jeshi la polisi kwa kitendo cha kinyama alichokifanya.Jeshi la polisi mkoani Mara wanafanya juhudi za kila namna kumkamata lakini amekuwa akikimbia mara aonekane Kenya,Botswana na kwengineko lakini bado hajakamatwa.Kwa utakae muona usisite kutoa ripoti zake.Mpaka askari wa upelelezi wa kimataifa interpol ina taarifa zake.
Mwezi wa pili walitofautiana baada ya bwana kuoa mke mwingine.Wakiwa wametofautiana na Nasra kuendelea na maisha siku hiyo bwana akamfata akamkuta barabarani anatoka kazini.Akiwa na rafiki yake wanatembea akamfungia breki mguuni akamwambia anataka kuongea nae.Nasra akakataa akamwambia kama kuna maongezi hawezi kuongea nae kama vipi amfate nyumbani huku anaendelea kutembea.Bwana yule akamfata kwa nyuma akamgonga na gari na baada ya Nasra kuanguka akanasa chini hivyo kuendelea kumburuza umali wa kama mita 150 hivi.Alipofika kwenye tuta akanasuka bwana ndio kushuka kwenye gari kukimbia.
Kiukweli aliumia sana sana ngozi yote ya mgongoni,mbavuni,makalio,ikavuka na kubaki kwenye lami.Sikio lake la kushoto lote likaliwa na lami,mbavu 7 zilivunjika pamoja na mguu.Akapelekwa hospitali na baadae kulazwa Bugando Mwanza lakini ikawa anahitajika kuhamishiwa hospital ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.Akiwa muhimbili alikuwa na hali mbaya sana baadae ikathibitika kuwa ameumia ndani kwa ndani kwani alibadilika sana akavimba na kuwa mweusi.Kwamuda wote wa miezi takribani sita alikuwa katika maumivu makali na bahati mbaya hakuweza kupambana tena kupigania maisha yake.
Nasra pichani kulia mwenye kilemba chekundu akiwa na ndugu zake wakati akiwa mzima.
Usiku wa kuamkia jumanne ya tarehe 10 Nasra akaaga dunia.Ilikuwa ni huzuni sana jinsi alivyoteseka na namna mazingira ya kifo chake kilivyotokea.Tulikuwa na matumaini kuwa angeweza kupona maana dakika za mwisho alikuwa anaongea japo kwa shida.
Tunaomba mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Nasra mahala pema peponi,Amina.
Lol, ngoja nilie kwanza.
huyu akikamatwa anatakiwa akatwe kiungo kimoja kimoja na msumeno tena taratiibu.na asruhusiwe kufa upesi ili na yeye ajue ubaya wa roho mbaya.shenzi taipu.