Nasra kaseja, wife of Kaseja..

Au ndio yule babu kijana

Acheni kuhangaika ' Kunichokonoa ' ili niwatajieni Jina lake tafadhali. Kama mmeshindwa Kumjua hapo katika maelezo yangu acheni Kunisumbua. Mtu yoyote wa mpira hasa huu wa Kibongo kwa na ambaye ni Mtu wa ' Kujichanganya ' mno na Wachezaji wa Kitanzania lazima tu atakuwa ameshanielewa na pia ameshamjua Mhusika niliyemuongelea hapo. Yaani nawashangaeni kweli ' Fumbo ' jepesi sana hilo limewashinda.
 
Nshamjua mkuu I was just teasing
 
mi nishajiongeza hyo unaemzungumzia ni kaburu ns hyo mwanamke anaitwa jamilla kuna kipindi chuji nae alikuwa anapumzika kwa hyo demu
 
Msaada tutani,
Ntapataje contact zake? Kuna kazi nahitaji kufanya naye.

Shukrani!!
 
Kumbe
GENTAMYCINE
ndiye Julio?

Mmebaki kunifananisha na Yesu Kristo tu sasa. Yaani kila Mtu nafananishwa nae humu JamiiForums. Hata hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kwamba kuna Watu wangu wa karibu Watatu humu wananijua in and out hadi hii ID yangu hivyo wanapowaona mnahangaika kunifananisha na Watu mbalimbali humu wanawashangaa mno.
 
Msaada tutani,
Ntapataje contact zake? Kuna kazi nahitaji kufanya naye.

Shukrani!!

Kama ni Kufanya nae Kazi sawa Mkuu ila kama unamtafuta kwa mengineyo Mimi sina la kusema hapo hasa ukizingatia kuna Demu mmoja hivi Mumewe alikuwa anapumzika nae pande za Sinza na sasa amerudi kwa Mama yake mdogo Kawe alikuwa ni Mnene na ana utajiri wa Mswambwanda / Wezere / Makalio Makubwa / Inye NdembeNdembe ila sasa hivi huyo Dada kimebaki ' Kichwa ' tu na mwili unaelekea sasa kufanana kama ' Chelewa ' vile. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Nikishaandika neno ' naomba niishie hapa tafadhali ' na ukaona naliwekea rangi Nyekundu jua ni jambo ' Nyeti ' mno halafu sitaki tena niulizwe niendelee mbele zaidi. Ukiwa makini na kuelewa nilichokiandika hapo nadhani huyo Mtu unayetamani kumjua nimeshamtaja na ungekuwa Mtu wa mpira kabisa mpaka sasa ungekuwa umeshamjua kwani ndiyo anajulikana kwa kuwa ' Kinara ' wa ' Kuwabandulia ' Wachezaji wa Bongo / Tanzania Wake / Mademu zao hasa wao wanapokuwa Kambini. Ni Mlezi mzuri sana wa Wachezaji hasa wanapokuwa na shida zao ila hupenda kujilipa Fadhila zake kwa ' Kuwabandulia ' Wapenzi wao.

Tabu yote ya nn mkuu kupoteza muda na story ndeefu si unataja tu umemaliza kazi.. hamna anayekujua humu ili raia wawe naye chonjo
 
Sijui watu wa dar huwa wanaishije na familia zao kwenye mji kama huo uliobeba kila aina ya ......!!!!!!!!!!!!!!!!?
 
Nikishaandika neno ' naomba niishie hapa tafadhali ' na ukaona naliwekea rangi Nyekundu jua ni jambo ' Nyeti ' mno halafu sitaki tena niulizwe niendelee mbele zaidi. Ukiwa makini na kuelewa nilichokiandika hapo nadhani huyo Mtu unayetamani kumjua nimeshamtaja na ungekuwa Mtu wa mpira kabisa mpaka sasa ungekuwa umeshamjua kwani ndiyo anajulikana kwa kuwa ' Kinara ' wa ' Kuwabandulia ' Wachezaji wa Bongo / Tanzania Wake / Mademu zao hasa wao wanapokuwa Kambini. Ni Mlezi mzuri sana wa Wachezaji hasa wanapokuwa na shida zao ila hupenda kujilipa Fadhila zake kwa ' Kuwabandulia ' Wapenzi wao.
Huyu unayemzungumzia atakuwa ni bwana qaburou tu hamna namna
 
Back
Top Bottom