Nasra kaseja, wife of Kaseja..

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
Huyu dada yuko vizuri, ni grafix dzaina pia ni makeup artist. Daah ila baadhi ya sanaa zake zinatisha aisee
IMG_0464.JPG
IMG_0465.JPG
IMG_0466.JPG
IMG_0467.JPG
IMG_0468.JPG
IMG_0469.JPG
IMG_0470.JPG
IMG_0471.JPG
IMG_0472.JPG
IMG_0473.JPG
 
Hakuna Mwanamke aliyemtesa Juma Kaseja kama huyu na kila nikikumbuka jinsi Kaseja alivyokuwa ' akilia ' hovyo Kambini na kuna muda aliathirika kabisa Kisaikolojia kwa tabia zisizo za Kinidhamu za Kimapenzi / Kimahaba za Mhusika pichani namwonea mno huruma Mtani wangu wa Kiha pande za Kigoma Ujiji Kaseja. Ninachojua tu ni kwamba sasa hivi Juma Kaseja ana furaha isiyo na Kifani hasa baada ya kuona ' Mhusika ' Mkuu aliyekuwa akimsababishia ' maumivu ' na ' machungu ' yake ya Ndoa na Mkewe yupo Segerea huku Kesi yake ndiyo Kwanza ikiwa imeanza Kusikilizwa. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Ni nani huyo mkuu?
 
Ni nani huyo mkuu?

Nikishaandika neno ' naomba niishie hapa tafadhali ' na ukaona naliwekea rangi Nyekundu jua ni jambo ' Nyeti ' mno halafu sitaki tena niulizwe niendelee mbele zaidi. Ukiwa makini na kuelewa nilichokiandika hapo nadhani huyo Mtu unayetamani kumjua nimeshamtaja na ungekuwa Mtu wa mpira kabisa mpaka sasa ungekuwa umeshamjua kwani ndiyo anajulikana kwa kuwa ' Kinara ' wa ' Kuwabandulia ' Wachezaji wa Bongo / Tanzania Wake / Mademu zao hasa wao wanapokuwa Kambini. Ni Mlezi mzuri sana wa Wachezaji hasa wanapokuwa na shida zao ila hupenda kujilipa Fadhila zake kwa ' Kuwabandulia ' Wapenzi wao.
 
Daaaah, tupe ronja mkuu
 
mlinzi
 
huko alikokuwa kaseja hata wachezaji wanaliwaga, ukisha mfungo ntaanza kuwataja!
 
Nikishaandika neno ' naomba niishie hapa tafadhali ' na ukaona naliwekea rangi Nyekundu jua ni jambo ' Nyeti ' mno halafu sitaki tena niulizwe niendelee mbele zaidi. Ukiwa makini na kuelewa nilichokiandika hapo nadhani huyo Mtu unayetamani kumjua nimeshamtaja na ungekuwa Mtu wa mpira kabisa mpaka sasa ungekuwa umeshamjua kwani ndiyo anajulikana kwa kuwa ' Kinara ' wa ' Kuwabandulia ' Wachezaji wa Bongo / Tanzania Wake / Mademu zao hasa wao wanapokuwa Kambini. Ni Mlezi mzuri sana wa Wachezaji hasa wanapokuwa na shida zao ila hupenda kujilipa Fadhila zake kwa ' Kuwabandulia ' Wapenzi wao.
Nishamjua
 
Back
Top Bottom