Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 1,068
- 1,491
Wakuu poleni na majukumu naomba mrejee kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu. Ni hivi nahitaji niweze kuzisoma kupitia android tablet niitumie mbinu gani?
Bado sijaiona mkuuNenda kwenye configuration link ya hyo device. Kuna option ya kuona sms za line ya simu
Sijakuelewa unaposema postpaidHizo si ni postpaid au?
Malipo ya baada ya matumiziSijakuelewa unaposema postpaid
Sijui kama ana capacity ya kukuelewa hapa!Nenda kwenye configuration link ya hyo device. Kuna option ya kuona sms za line ya simu
Unafikiri mm Nina mapengo kama wewe 😄😄😄 Mimi napendwa wewe. hata hivyo nataka niwe naona sms za vifurushiUsimfuatilie sana huyo binti .hizo meseji unazozitafuta zitakutoa kihoro kijana
Acha wenye pesa wamdodose nakumtumia meseji za malavi davi
Sasa wewe mwenye capacity nielewesheSijui kama ana capacity ya kukuelewa hapa!
piga picha vzur hayo maandishi ya kushotoSasa wewe mwenye capacity nielewesheView attachment 3659384View attachment 3659384
piga picha vzur hayo maandishi ya kushoto
Ingia kwenye admin panel kupitia IP addressWakuu poleni na majukumu naomba mrejee kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu. Ni hivi nahitaji niweze kuzisoma kupitia android tablet niitumie mbinu gani?
Nimeishia hapoIngia kwenye admin panel kupitia IP address