pocket wifi

This is a list of Pocket PC devices, and companies that make, or have made, them.

View More On Wikipedia.org
  1. Mechanic 97

    JamiiForums Tanzania Nasomaje sms za laini iliyopo ndani ya pocket wifi

    Wakuu poleni na majukumu naomba mrejee kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu. Ni hivi nahitaji niweze kuzisoma kupitia android tablet niitumie mbinu gani?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufanya configuration ya universal pocket Wi Fi

    Habari wanafamilia wenzangu naomba msaada namna ya kuseti configuration ya wifi zinazopokea laini zote, nikiweka laini na kulog in inakubali ila inanipa ujumbe wa connected without internet lakini laini ina kifurushi, msaada wa kunivusha hapa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je? Kuna uwezekano wa kupata line ya pocket wifi router?

    Wakulungwa. Swali langu ni km nilivyouliza. Km mtu ana router na hana line. Kuna uwekano wwt wa kupata line ambayo itakua na vifurushi maalum kwa ajili ya router husijka?
  4. U

    JamiiForums Tanzania Poket wifi ya halotel

    Wakuu naomba kw a yoyote alie wahi kutumia poket wifi y halotel unlimited, kwani muda wowote ule nitakwenda kununua naomba ushauri kuhusu speed yake, shukran wakuuu
Back
Top Bottom