Nasita kuikubali hii ofa ya Mwananchi Communications!

Nasita kuikubali hii ofa ya Mwananchi Communications!

Mkuu kazi ni zaidi ya mshahara. Jiulize tu wapi/kazi ipi unafurahia zadi? Wapi panakupa uhuru zaidi? wapi unapata exposure zaidi? wapi unapata fursa ya kukuza na kuendeleza career zaidi? wapi ni sustainable zaidi? wapi kuna extra opportunities zaidi? nk
 
Back
Top Bottom