Nasikia wavuvi wanafaidi sana hiki kiumbe

Nasikia wavuvi wanafaidi sana hiki kiumbe

Uwepo wao sikatai ila swala la kusex uyo atakuwa jini mahaba..
 
Leo katika harakati zangu nilipitia soko la samak pale feri sasa wakati nasubir samaki nilikuwa napiga stori na mvuvi mmoja, bhas katika kupiga stori nikamwuliza naskia kuna samaki mtu (mermaids) au nguva kwa kibongo akanambia ni kweli wapo wana exist ila kuwaona ni nadra sana na wachache sana huwa wanabahatika kuwaona akanambia hata rafiki ake mvuv alishawai kutana nae wakati akivua usiku sana.

Akanambia kwamba hawa samaki ni wazuri sana hakuna mwanamke mrembo kama mermaids japo nusu ni samak na juu ni mtu. Akanambia ukikutana na hyu samak jua wewe ni kifo au ukibahatika utaishia fanya mapenzi na mermaid.

Bhas palepale nikaamua ku google nikapata kufaham kuwa ni kweli wana exist na alishawai onekana israel, indian ocean,atlantic ocean japo weng wapo pacific ocean...,
Bhasi nikamuuliza kama anaprove ya mvuvi aliyewai fnya...View attachment 1116710
Karne ya 21 hii mkuu
 
Hivo viumbe kweli kabisa vipo. Ila usivichukulie kama samaki wa kawaida, hao ni jamii ya majini na wanahusiana sana kimikataba na binadamu katka kuwawezesha kupata utàjiri, uongozi na hata upako na nguvu za miujiza kwa viongozi wa kiroho hasa hawa wanaoitwa manabii feki.
 
Ukweli wapo but not in that shape jamani,sio wazuri hata kidogo....tafuta documentary zao uone Yan ni wabaya na sura zao ni mbaya kinoma ghost sio ghost....Yani so scaring kwa kweli...
 
Hivo viumbe kweli kabisa vipo. Ila usivichukulie kama samaki wa kawaida, hao ni jamii ya majini na wanahusiana sana kimikataba na binadamu katka kuwawezesha kupata utàjiri, uongozi na hata upako na nguvu za miujiza kwa viongozi wa kiroho hasa hawa wanaoitwa manabii feki.
Kabisa umenena
 
Ila apo kwenye utajiri umeongopa na manabii umeongopa kwa kweli
 
Ila apo kwenye utajiri umeongopa na manabii umeongopa kwa kweli
Ndugu yangu ukisikia malkia wa pwani ndio muonekano huo. Manabii feki yaani chui waliovaa ngozi ya kondoo ndiko wanakopata nguvu za miujiza kwa viumbe hao. We wachukulie poa lkn siku ukitaka kuwa nabii wa uongo kama TB Joshua au Mwamposa utakuja ukutane na viumbe kama hao. Na stori za kulala nao ni kweli tupu.
 
Hii ni kamba ila kama wanachosema ni kweli basi hayo ni majini wavuvi wanakula majini asee
 
Sure mwenyew nilikua siamin kama ww ila kwwl
Umeamini baada ya kumsikiliza mvumvi. Mvuvi ambaye hajashuhudia wala hakuna anayemjua kuwa alishuhudia.

Mimi ni mfwatiliaji sana wa video za wanyama. Wa msituni na wa kwenye maji. Nimeangalia video hizi kwa zaidi ya miaka 15. Lakini sojaona kitu alichosema mvuvi.

Ulimwengu wa teknolojia, kamera kila kona. Msituni, majini n.k.
Laiti ingalikuwa ni kweli, ungaliona kwenye video.
 
Back
Top Bottom