Jimbo gani unagombania 2020 maana katika kampeni zako hukawii kuwambia utamrudisha mwalimu Nyerere
Kwa wale wabishi link hyo
Karne ya 21 hii mkuuLeo katika harakati zangu nilipitia soko la samak pale feri sasa wakati nasubir samaki nilikuwa napiga stori na mvuvi mmoja, bhas katika kupiga stori nikamwuliza naskia kuna samaki mtu (mermaids) au nguva kwa kibongo akanambia ni kweli wapo wana exist ila kuwaona ni nadra sana na wachache sana huwa wanabahatika kuwaona akanambia hata rafiki ake mvuv alishawai kutana nae wakati akivua usiku sana.
Akanambia kwamba hawa samaki ni wazuri sana hakuna mwanamke mrembo kama mermaids japo nusu ni samak na juu ni mtu. Akanambia ukikutana na hyu samak jua wewe ni kifo au ukibahatika utaishia fanya mapenzi na mermaid.
Bhas palepale nikaamua ku google nikapata kufaham kuwa ni kweli wana exist na alishawai onekana israel, indian ocean,atlantic ocean japo weng wapo pacific ocean...,
Bhasi nikamuuliza kama anaprove ya mvuvi aliyewai fnya...View attachment 1116710
Hakuna shida endapo utatutajia kilevi ulichotumia kabla haujapostNimeandka nilicho sikia mkuu shida nn?
Kabisa umenenaHivo viumbe kweli kabisa vipo. Ila usivichukulie kama samaki wa kawaida, hao ni jamii ya majini na wanahusiana sana kimikataba na binadamu katka kuwawezesha kupata utàjiri, uongozi na hata upako na nguvu za miujiza kwa viongozi wa kiroho hasa hawa wanaoitwa manabii feki.
Ila apo kwenye utajiri umeongopa na manabii umeongopa kwa kweliHivo viumbe kweli kabisa vipo. Ila usivichukulie kama samaki wa kawaida, hao ni jamii ya majini na wanahusiana sana kimikataba na binadamu katka kuwawezesha kupata utàjiri, uongozi na hata upako na nguvu za miujiza kwa viongozi wa kiroho hasa hawa wanaoitwa manabii feki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nimeshamla mmoja mwaka jana. Anakatika hatari.
Ndugu yangu ukisikia malkia wa pwani ndio muonekano huo. Manabii feki yaani chui waliovaa ngozi ya kondoo ndiko wanakopata nguvu za miujiza kwa viumbe hao. We wachukulie poa lkn siku ukitaka kuwa nabii wa uongo kama TB Joshua au Mwamposa utakuja ukutane na viumbe kama hao. Na stori za kulala nao ni kweli tupu.Ila apo kwenye utajiri umeongopa na manabii umeongopa kwa kweli
Ndugu yangu ukisikia malkia wa pwani ndio muonekano huo. Manabii feki yaani chui waliovaa ngozi ya kondoo ndiko wanakopata nguvu za miujiza kwa viumbe hao. We wachukulie poa lkn siku ukitaka kuwa nabii wa uongo kama TB Joshua au Mwamposa utakuja ukutane na viumbe kama hao. Na stori za kulala nao ni kweli tupu.Ila apo kwenye utajiri umeongopa na manabii umeongopa kwa kweli
Umeamini baada ya kumsikiliza mvumvi. Mvuvi ambaye hajashuhudia wala hakuna anayemjua kuwa alishuhudia.Sure mwenyew nilikua siamin kama ww ila kwwl