gm man
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,177
- 1,456
Ndo wiki zao hizi... Mana vyuo vinafungwa mwez ujaoHivi Shule zimeshafungwa?
Ndo wiki zao hizi... Mana vyuo vinafungwa mwez ujaoHivi Shule zimeshafungwa?
Sure mwenyew nilikua siamin kama ww ila kwwl
Samahani mkuu unasoma darasa la ngapiLeo katika harakati zangu nilipitia soko la samak pale feri sasa wakati nasubir samaki nilikuwa napiga stori na mvuvi mmoja, bhas katika kupiga stori nikamwuliza naskia kuna samaki mtu (mermaids) au nguva kwa kibongo akanambia ni kweli wapo wana exist ila kuwaona ni nadra sana na wachache sana huwa wanabahatika kuwaona akanambia hata rafiki ake mvuv alishawai kutana nae wakati akivua usiku sana.
Akanambia kwamba hawa samaki ni wazuri sana hakuna mwanamke mrembo kama mermaids japo nusu ni samak na juu ni mtu. Akanambia ukikutana na hyu samak jua wewe ni kifo au ukibahatika utaishia fanya mapenzi na mermaid.
Bhas palepale nikaamua ku google nikapata kufaham kuwa ni kweli wana exist na alishawai onekana israel, indian ocean,atlantic ocean japo weng wapo pacific ocean...,
Bhasi nikamuuliza kama anaprove ya mvuvi aliyewai fnya...View attachment 1116710
Mermaid ni myth. Hata ww utaaminije kwa story za kuambiwa ambazo hazina concrete evidence?
Hayo mapenz mnayafanya kwa njia ya mdomo ama?
Mi nimeshamla mmoja mwaka jana. Anakatika hatari.
Samahani mkuu unasoma darasa la ngapi
Ndo maana wakenya hawatutakii kwa maneno hayoumeandika kama unakimbia mzee mwenzangu....ungetulia ungeandika mambo ya msingi...ebu tuliza kichwa basi
porojo hizo,Leo katika harakati zangu nilipitia soko la samak pale feri sasa wakati nasubir samaki nilikuwa napiga stori na mvuvi mmoja, bhas katika kupiga stori nikamwuliza naskia kuna samaki mtu (mermaids) au nguva kwa kibongo akanambia ni kweli wapo wana exist ila kuwaona ni nadra sana na wachache sana huwa wanabahatika kuwaona akanambia hata rafiki ake mvuv alishawai kutana nae wakati akivua usiku sana.
Akanambia kwamba hawa samaki ni wazuri sana hakuna mwanamke mrembo kama mermaids japo nusu ni samak na juu ni mtu. Akanambia ukikutana na hyu samak jua wewe ni kifo au ukibahatika utaishia fanya mapenzi na mermaid.
Bhas palepale nikaamua ku google nikapata kufaham kuwa ni kweli wana exist na alishawai onekana israel, indian ocean,atlantic ocean japo weng wapo pacific ocean...,
Bhasi nikamuuliza kama anaprove ya mvuvi aliyewai fnya...View attachment 1116710
hamna kitu hapo, hiyo ni hadithi tu.Jamaa anachosema inawezekana ikawa kweli mwenyew nilishawai ambiwa tena na bibi yangu uko tanga
Ilikuwa ndotoni mkuu sio liveTupe uzi mkuuu
Nimeandka nilicho sikia mkuu shida nn?
Hao ni majin na sio samaki nguva yupo lakin sio juu mtu sema tu anabeba mtoto wake ananyonyesha iyo mitude iyo ni sio