Nasikia wavuvi wanafaidi sana hiki kiumbe

Leo katika harakati zangu nilipitia soko la samak pale feri sasa wakati nasubir samaki nilikuwa napiga stori na mvuvi mmoja, bhas katika kupiga stori nikamwuliza naskia kuna samaki mtu (mermaids) au nguva kwa kibongo akanambia ni kweli wapo wana exist ila kuwaona ni nadra sana na wachache sana huwa wanabahatika kuwaona akanambia hata rafiki ake mvuv alishawai kutana nae wakati akivua usiku sana.

Akanambia kwamba hawa samaki ni wazuri sana hakuna mwanamke mrembo kama mermaids japo nusu ni samak na juu ni mtu. Akanambia ukikutana na hyu samak jua wewe ni kifo au ukibahatika utaishia fanya mapenzi na mermaid.

Bhas palepale nikaamua ku google nikapata kufaham kuwa ni kweli wana exist na alishawai onekana israel, indian ocean,atlantic ocean japo weng wapo pacific ocean...,
Bhasi nikamuuliza kama anaprove ya mvuvi aliyewai fnya...View attachment 1116710
Hekaya za Abunuasi...nyie ndo mnaodanganywa ukipata Rupia basi umekuwa bilionea na mnaishia kutumia miaka ya Uhai wenu wote kuchimba mapango mkiamini mtaipata Rupia, POLENI!
 
Kama Wikipedia hawamtambui siwezi kuamini
Screenshot_20190603-230625.jpeg
 
Hao ni viumbe wa stori tu hamnaga viumbe ka hao
 
Hekaya za Abunuasi...nyie ndo mnaodanganywa ukipata Rupia basi umekuwa bilionea na mnaishia kutumia miaka ya Uhai wenu wote kuchimba mapango mkiamini mtaipata Rupia, POLENI!

Shida ya sisi wabongo huwa wabish vitu vpo hvyo
 
Kwa waliosoma hadithi za Alfu Lela Ulela wanaweza kuelewa kile mleta sledi ameandika...inadaiwa huko Nigeria pia hawa viumbe wapo
 
kwenye io picha umeona sehemu za siri zakufanyia mapenzi?

Back
Top Bottom