Nasikia wavuvi wanafaidi sana hiki kiumbe

Nasikia wavuvi wanafaidi sana hiki kiumbe

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Leo katika harakati zangu nilipitia soko la samak pale feri sasa wakati nasubir samaki nilikuwa napiga stori na mvuvi mmoja, bhas katika kupiga stori nikamwuliza naskia kuna samaki mtu (mermaids) au nguva kwa kibongo akanambia ni kweli wapo wana exist ila kuwaona ni nadra sana na wachache sana huwa wanabahatika kuwaona akanambia hata rafiki ake mvuv alishawai kutana nae wakati akivua usiku sana.

Akanambia kwamba hawa samaki ni wazuri sana hakuna mwanamke mrembo kama mermaids japo nusu ni samak na juu ni mtu. Akanambia ukikutana na hyu samak jua wewe ni kifo au ukibahatika utaishia fanya mapenzi na mermaid.

Bhas palepale nikaamua ku google nikapata kufaham kuwa ni kweli wana exist na alishawai onekana israel, indian ocean,atlantic ocean japo weng wapo pacific ocean...,
Bhasi nikamuuliza kama anaprove ya mvuvi aliyewai fnya...
IMG_5143.JPG
 
Jamaa anachosema inawezekana ikawa kweli mwenyew nilishawai ambiwa tena na bibi yangu uko tanga
 
Mmmm sasa hapo naniliu siitakuwa kama ya samaki? Sasa hapo utaingizaje dudu? Mana chini yupo kama samaki
 
Na hicho kiumbe kinajoto kweli,?? mwandishi tuambie wavuvi wanafaidi au wanafaidiwa wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom