Nasikia watu wa Mtwara mwanamke anaweza kumfukuza mwanaume nyumbani

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Bibi yangu alisomaga huko masasi miaka hiyo. Sasa alinisimulia kuwa wakiwa vijijini siku moja wakakuta mdingi amebeba vitu kama anahama.

Walipomuuliza akawajibu kuwa mama yenu kanifukuza. Ni kweli hizi ishu zipo? Maana najua kuna ishu za matrinia na patrinia lakini nilikuwa naona kama hadithi tu.
 
Labd Enzi za Bibi Ako
Nakama huyo jamaa alikuw anaish kwa mwanamke

Na experience ndogo ya miak 5 huku angalia ni mtu mzma
 
nasikia wanaweza kumfukuza hasa sehemu za wavuvi maana wavuvi huwa ni wavivu wanategemea kuvua samaki wachache hivyo hunakuta wanawake ndio kila kitu kwa maana ndio wanaoongoza mji... hivyo kama kawaida mwanamke akishika mji tambua wewe mwanaume mda wowote kinanuka
 
Ni kweli,wanaume wengi wanaoa lakini huenda kuishi kwa mwanamke hasa vijijini kama vile mkarango(zamani mchangani/n`changani),namajani,nandembo,na hata mkomaindo hayo ni baadhi ya maeneo machache tuu,.

cholello wamakua,nihongwelellaa??:p 😂
 
Kiufupi ni jamii ya "matrilineal' sio?
Ni kweli,wanaume wengi wanaoa lakini huenda kuishi kwa mwanamke hasa vijijini kama vile mkarango(zamani mchangani/n`changani),namajani,nandembo,na hata mkomaindo hayo ni baadhi ya maeneo machache tuu,.

cholello wamakua,nihongwelellaa??:p
 
Bibi yangu alisomaga huko masasi miaka hiyo. Sasa alinisimulia kuwa wakiwa vijijini siku moja wakakuta mdingi amebeba vitu kama anahama.

Walipomuuliza akawajibu kuwa mama yenu kanifukuza. Ni kweli hizi ishu zipo? Maana najua kuna ishu za matrinia na patrinia lakini nilikuwa naona kama hadithi tu.
Matrinia sosayati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom