Nasikia utamu

womanizer

Senior Member
Jun 13, 2011
106
20
Baada ya kuzunguka Twitter, Facebook, Myspace bila kupata ninachotaka hatimaye nimegundua hapa patanifaa sana.
 
kikupacho utamu na uchungu kitakupa ....................hahahahahah
karibu hadi chumbani
 
Huko ni maarufu kwa kutafuta uchumba... kama lengo ndo hilo bado utaona hapafai...


Karibu saana.
 
Back
Top Bottom