"Iishi tanzania, iishi afrika"

"Iishi tanzania, iishi afrika"

Mnandi Jr

Member
Joined
May 30, 2026
Posts
66
Reaction score
93
Tanzania ni yetu, hakuna mtu kutoka nje atakuja kuijenga tanzania tunayoitaka bali ni sisi wenyewe.

Hayari patrce lumumba wa DRC Congo aliwahi kusema "...bila haki hakuna uhuru, na bila uhuru hakuna watu huru".

Lumumba ni kijana alijitoa kupigania haki ya taifa lake, alikua tayari kufa ili congo iwe huru.

Sisemi kijana ujitoe mhanga ili ufe, hapana. Ninachotaka kusema haki haiombi, haki inadaiwa, hata ikibidi damu imwagike ili kupata haki yako.

Amani iwe nanyi..
 
Back
Top Bottom