ALINIRUHUSU KUINGIZA KICHWA TU!!

ALINIRUHUSU KUINGIZA KICHWA TU!!

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,055
Reaction score
15,112
Ni baada ya kumuomba sana na kumbembeleza.

Yeye akasema amechoka hawezi kuamka.

Lakini sikukata tamaa...nikazidi kupanga maneno ili anielewe,

Bila kufanya hivyo nisingeweza kupata usingizi.

Hatimaye akasema siku nyingine nisirudie tena huo mchezo wa kumuamsha manake alikwisha lala na ni usiku mkubwa.

Basi akanifungulia geti nikaingiza kichwa cha VOLVO VNL 680...manake kukilaza nje ni hatari kilikuwa kipyaa...
1789015745172.png
 
Ni baada ya kumuomba sana na kumbembeleza.

Yeye akasema amechoka hawezi kuamka.

Lakini sikukata tamaa...nikazidi kupanga maneno ili anielewe,

Bila kufanya hivyo nisingeweza kupata usingizi.

Hatimaye akasema siku nyingine nisirudie tena huo mchezo wa kumuamsha manake alikwisha lala na ni usiku mkubwa.

Basi akanifungulia geti nikaingiza kichwa cha VOLVO VNL 680...manake kukilaza nje ni hatari kilikuwa kipyaa...View attachment 3667304
1789009046210.jpg
 
Sahihi.Kichwa kingeumwa na mbu.
 
Alikufungulia mlango gani😎
1789005318086.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom