nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,927
- 1,342
Katika watu ambao wana zero thinking capacity basi wewe ni kiongozi wao
angalia anavyotoka povuu, nimesema huwezi kuwa kijana ukaipenda ccm bado,kichwani ukawa mzimaa..
Katika watu ambao wana zero thinking capacity basi wewe ni kiongozi wao
Wewe wanawake wenzako wanavyoishi maisha ya tabu, wanajiuza, wengine wanakaa vibarazani wanauza karanga, wengine nenda pale temeke uuone wanavyojifungulia chini ..unakija hapa unaishangilia ccm..jinga kabisa..Chama cha ukanda hicho;
Ndiyo maana wakiamua kula pesa wanakula
Wakiamua kufukuza wa hawajali;
Kiacheni kijifilia pole pole tu. Utafanya nini
wakati chama ni chao viongozi ni watoto wao na wakwe
zao, wengine ni marafiki zao.
Mtafukuza wote mbaki wachagga tu
Mkuu, siipendi, sijawahi kuipenda na sitakuja kuipenda chadema. Chadema ni chama laghai na wananchi wanazidi kukikimbia. Serikali yangu ya ccm inajitahidi kushughulikia kero za wananchi
Mkuu, mie nina huruma sana kwa hawa watani zangu.
Mmmmmmmmmh CHADEMA inatisha imewashika pabaya sasa wanaweweseka na bado,hii ni trela tu movie yenyewe hata haijaaanza mnaanza kuweweseka.Muziki mnene unakuja subirini.Chama cha ukanda hicho;
Ndiyo maana wakiamua kula pesa wanakula
Wakiamua kufukuza wa hawajali;
Kiacheni kijifilia pole pole tu. Utafanya nini
wakati chama ni chao viongozi ni watoto wao na wakwe
zao, wengine ni marafiki zao.
Wewe wanawake wenzako wanavyoishi maisha ya tabu, wanajiuza, wengine wanakaa vibarazani wanauza karanga, wengine nenda pale temeke uuone wanavyojifungulia chini ..unakija hapa unaishangilia ccm..jinga kabisa..
Mipasho ndio urithi wenu enyi wana wa lumumba; Lizaboni MSALANI FaizaFoxy ifweero na wenzenu wadaka tonge. Siku yaja ambapo Magamba CCM mtafutika na kutoweka kwenye medani za kisiasa Nchi mwetu.
Mizizi ya CHADEMA imejishikiza kwa watu weledi na wajuvi wa kupambanua mambo wenye akili zao, sio nyie watanua midomo na kutwa kuchwa mnapiga miayo na kujipendekeza kwa mabwanyenye wa CCM!
CDM haifi na haitakuja kufutika endeleeni kuota ndoto za mchana!
Wewe hayo maduka ya dawa ya madaktari umeyaona wapi..unajua azimio la arusha limeuliwa na chama gani..?!Tena nyie drs ndo mnaochangia,
hivi inakuwaje kila dr ana duka la dawa za binadamu
na zahanati yake?
Unategemea huko hosptalini kuna kitu kitasalia kweli
Heri angerudi nyerere awafungie hizo maduka na hosp
tuone kama tutanunua glov. (Azimio la Arusha)
Mmeshamaliza sakata la wajumbe wenu wanaosema kuna ufisadi katika uongozi wa juu wa chadema? au umesahau?