Nasikia Harufu Kali na Mbaya ndani ya CHADEMA

Wadau,

Kwa siku za karibuni tumeshuhudia taarifa mbalimbali ndani ya CHADEMA ambazo kimsingi hazileti muonekano mzuri ndani ya chama hicho. Hizi ni dalili za wazi za chama kinachopoteza mvuto miongoni mwa jamii. Hizi ni dalili za chama kukosa internal mechanism ya kushughulikia mambo yake. Hizi ni dalili za chama kukosa viongozi wabunifu. Hizi ni dalili za chama kuwa na viongozi wasioruhusu challenge. Hizi ni dalili za chama kuongozwa na watu waoga. Hizi ni dalili za chama kuendeshwa kienyeji. Hizi ni dalili za chama kupoteza muelekeo. Sijui na wenzangu mmeliona hili?

Kuna taarifa ilipatikana humu JF kuwa kuna kikao cha Kamati Kuuu cha CHADEMA kiliketi huko Dodoma. Miongoni mwa mambo yaliyoazimiwa ni kuwafukuza uanachama baadhi ya viongozi wa mikoa na wilaya ambao kwa mtazamo wa uongozi ni mamluki wa CCM kupitia ACT Tanzania. Haijapita muda, taarifa hizo zilikanushwa na msemaji wa chama, Tumaini Makene.

Haijapita hata wiki, baadhi ya viongozi wa mikoa na Wilaya wamejitokeza hadharani na kutoa shutuma nzito kwa uongozi ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya ya madaraka, ubadhilifu wa fedha za chama wanazopata kwa njia ya ruzuku na misaada pamoja na kukiukwa kwa katiba ya chama. Baada ya Taarifa hiyo, tumeshuhudia matamko mawili. Moja limetolewa na Michael Aweda na jingine limetolewa na Yeriko Nyerere ambaye amewalisha maneno baadhi ya viongozi ambao ni wa CHADEMA CHUMBANI. Katika matamko yote hayo, inaonekana dhahiri kuwa kuna vita kali baina ya wanaopigania chama dhidi ya wale wanaopigania matumbo yao. Pamoja na jitihada za akina Yeriko kuondoa harufu ya kinyesi kwa kupuliza pafyum, bado taarifa zao zimeshindwa kabisa kujibu hoja za akina Balozi.

Wadau, hii ni vita na ni vita kali kweli. Sote tunatambua madhara ya vita. Ama zako ama zangu. Ni kutokana na muktadha huo, ndipo nilipofikiria na nikabaini kuwa kuna jambo zito litatokea ndani ya CHADEMA na kuna watu watadhurika kutokana na hali hiyo. Uongozi uliopo madarakani haupo tayari kusikiliza hoja zinazotolewa na wapigania chama. Uongozi upo busy kupanga mikakati ya kuweza kuwanyamazisha wale wote wanaowapinga hata ikibidi kuwadhuru. Hii ni hatari sana. Kitengo chao cha Ujasusi kinahaha kutafuta mbinu za kunusuru jahazi lisizame. Mbinu moja inayotumiwa kwa sasa ni kuitupia mzigo wa lawama CCM kwa yote yanayoendelea ndani ya chama hicho as if wanachama wote wa CHADEMA ni misukule ambao hawana uwezo na utashi wa kuhoji mambo ndani ya chama.

Harufu mbaya iliyoanza kujitokeza inaweza kuenea zaidi ndani ya chama hicho na kadri siku zinavyoenda baadhi ya watu watapewa majina mengine bila ya ridhaa yao. Wenye akili wamenielewa. Tusubiri tuone. Ila nawasikitikia sana hawa viongozi walioamua kukipigania chama ambacho kinaongozwa na viongozi ambao ni sikio la kufa. Jitihada zao kama za akina Athumani Balozi hazitafua dafu mbele ya viongozi laghai akina Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa. Hata hivyo, nawapongeza kwa ujasiri waliouonesha ingawa wanajua kuwa mwisho wao utakuwa mbaya.
Kazi yetu kabla ya 2015 ni kufukuza panya na nyoka kwenye kihenge chetu!! Nyoka wanatafuta panya na kutaka kudhuru na panya wanakula na kuharibu kihenge!! Waondoke panya na nyoka wa TBR mbona kobra ZZK yuko nje!! anawapenyezaje? Ngoja muumie!!
 
Mkuu, hatutaacha kufuatilia masuala ya CDM kwa vile wao waiaifitinisha CCM kwa wananchi
fuuatilia ya mke wako achana na chadema,ccm ni janga la taifa,narudia tena kama siyo polis na hiyo tume yenu ccm ingesha potezwa ila Mungu yupo na siku zenu zinahesabika.
 
Hapa ndipo nachoka daima watetezi wa CCM kina Wewe, Msalani, Ritz, Ifwer na many more ndio pia watetezi wa ACT na wasaliti wote wa Chadema kama Zito na kundi lake. Nini kipo nyuma ya kuwa watetezi?
 
UZURI WAKE ni KWAMBA KILA MWENYE AKILI TIMAMU HAPA JF AMEKUDHARAU sana .
 
Hapa ndipo nachoka daima watetezi wa CCM kina Wewe, Msalani, Ritz, Ifwer na many more ndio pia watetezi wa ACT na wasaliti wote wa Chadema kama Zito na kundi lake. Nini kipo nyuma ya kuwa watetezi?

mbona wote ni walewale tu !
 
Huko Tabora kunazidi kuwaka moto. Dereva wa chama ameanza kunyimwa gari kwa kuhisiwa kwamba yupo ACT. Kazi ipo.
 
mimi nina uhakika Chadema itasambaratika muda si mrefu。 tatizo kubwa la chadema ni ubaguzi..Ukikataa kuwa mtumwa wa mbowe na slaa unabaguliwa

Mimi na familia yangu nitakuwa mtumwa wa CHADEMA (ukipenda sema Mbowe au Dr. Slaa) mpaka tuhakikishe CCM imekufa kwa kujinywesha sumu yenyewe!!
 
Mkuu, hatutaacha kufuatilia masuala ya CDM kwa vile wao waiaifitinisha CCM kwa wananchi

Lizbon yaani umenivunja mbavu zangu... sasa subiri 2015..na kwa kuwa wewe kitengo chako ni mtandaoni... wewe endelea kujilisha upepo

Lizbon hiki Chama cha chadema haukiwezi mdogo wangu.... najua unakipenda kimoyo moyo, lakini ndiyo hivyo tena kula yako inapatikana hapo lumumba

Lizbon, vipi ndg zako kule kijijini mambo yao super?.. haaaaa Lizbon
 
Kazi yetu kabla ya 2015 ni kufukuza panya na nyoka kwenye kihenge chetu!! Nyoka wanatafuta panya na kutaka kudhuru na panya wanakula na kuharibu kihenge!! Waondoke panya na nyoka wa TBR mbona kobra ZZK yuko nje!! anawapenyezaje? Ngoja muumie!!
Mtafukuza wote mbaki wachagga tu
 
Lizbon yaani umenivunja mbavu zangu... sasa subiri 2015..na kwa kuwa wewe kitengo chako ni mtandaoni... wewe endelea kujilisha upepo

Lizbon hiki Chama cha chadema haukiwezi mdogo wangu.... najua unakipenda kimoyo moyo, lakini ndiyo hivyo tena kula yako inapatikana hapo lumumba

Lizbon, vipi ndg zako kule kijijini mambo yao super?.. haaaaa Lizbon
Mkuu, siipendi, sijawahi kuipenda na sitakuja kuipenda chadema. Chadema ni chama laghai na wananchi wanazidi kukikimbia. Serikali yangu ya ccm inajitahidi kushughulikia kero za wananchi
 
Mimi na familia yangu nitakuwa mtumwa wa CHADEMA (ukipenda sema Mbowe au Dr. Slaa) mpaka tuhakikishe CCM imekufa kwa kujinywesha sumu yenyewe!!
Utakufa wewe utaiacha ccm inabamba.
 
Chama cha ukanda hicho;
Ndiyo maana wakiamua kula pesa wanakula
Wakiamua kufukuza wa hawajali;

Kiacheni kijifilia pole pole tu. Utafanya nini
wakati chama ni chao viongozi ni watoto wao na wakwe
zao, wengine ni marafiki zao.

ni mataahira tu wanaweza kuwaza kama wewe
 
Chama cha ukanda hicho;
Ndiyo maana wakiamua kula pesa wanakula
Wakiamua kufukuza wa hawajali;

Kiacheni kijifilia pole pole tu. Utafanya nini
wakati chama ni chao viongozi ni watoto wao na wakwe
zao, wengine ni marafiki zao.

Ukitoka.............huwa unatawaza?
 
Wadau,

Kwa siku za karibuni tumeshuhudia taarifa mbalimbali ndani ya CHADEMA ambazo kimsingi hazileti muonekano mzuri ndani ya chama hicho. Hizi ni dalili za wazi za chama kinachopoteza mvuto miongoni mwa jamii. Hizi ni dalili za chama kukosa internal mechanism ya kushughulikia mambo yake. Hizi ni dalili za chama kukosa viongozi wabunifu. Hizi ni dalili za chama kuwa na viongozi wasioruhusu challenge. Hizi ni dalili za chama kuongozwa na watu waoga. Hizi ni dalili za chama kuendeshwa kienyeji. Hizi ni dalili za chama kupoteza muelekeo. Sijui na wenzangu mmeliona hili?

Kuna taarifa ilipatikana humu JF kuwa kuna kikao cha Kamati Kuuu cha CHADEMA kiliketi huko Dodoma. Miongoni mwa mambo yaliyoazimiwa ni kuwafukuza uanachama baadhi ya viongozi wa mikoa na wilaya ambao kwa mtazamo wa uongozi ni mamluki wa CCM kupitia ACT Tanzania. Haijapita muda, taarifa hizo zilikanushwa na msemaji wa chama, Tumaini Makene.

Haijapita hata wiki, baadhi ya viongozi wa mikoa na Wilaya wamejitokeza hadharani na kutoa shutuma nzito kwa uongozi ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya ya madaraka, ubadhilifu wa fedha za chama wanazopata kwa njia ya ruzuku na misaada pamoja na kukiukwa kwa katiba ya chama. Baada ya Taarifa hiyo, tumeshuhudia matamko mawili. Moja limetolewa na Michael Aweda na jingine limetolewa na Yeriko Nyerere ambaye amewalisha maneno baadhi ya viongozi ambao ni wa CHADEMA CHUMBANI. Katika matamko yote hayo, inaonekana dhahiri kuwa kuna vita kali baina ya wanaopigania chama dhidi ya wale wanaopigania matumbo yao. Pamoja na jitihada za akina Yeriko kuondoa harufu ya kinyesi kwa kupuliza pafyum, bado taarifa zao zimeshindwa kabisa kujibu hoja za akina Balozi.

Wadau, hii ni vita na ni vita kali kweli. Sote tunatambua madhara ya vita. Ama zako ama zangu. Ni kutokana na muktadha huo, ndipo nilipofikiria na nikabaini kuwa kuna jambo zito litatokea ndani ya CHADEMA na kuna watu watadhurika kutokana na hali hiyo. Uongozi uliopo madarakani haupo tayari kusikiliza hoja zinazotolewa na wapigania chama. Uongozi upo busy kupanga mikakati ya kuweza kuwanyamazisha wale wote wanaowapinga hata ikibidi kuwadhuru. Hii ni hatari sana. Kitengo chao cha Ujasusi kinahaha kutafuta mbinu za kunusuru jahazi lisizame. Mbinu moja inayotumiwa kwa sasa ni kuitupia mzigo wa lawama CCM kwa yote yanayoendelea ndani ya chama hicho as if wanachama wote wa CHADEMA ni misukule ambao hawana uwezo na utashi wa kuhoji mambo ndani ya chama.

Harufu mbaya iliyoanza kujitokeza inaweza kuenea zaidi ndani ya chama hicho na kadri siku zinavyoenda baadhi ya watu watapewa majina mengine bila ya ridhaa yao. Wenye akili wamenielewa. Tusubiri tuone. Ila nawasikitikia sana hawa viongozi walioamua kukipigania chama ambacho kinaongozwa na viongozi ambao ni sikio la kufa. Jitihada zao kama za akina Athumani Balozi hazitafua dafu mbele ya viongozi laghai akina Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa. Hata hivyo, nawapongeza kwa ujasiri waliouonesha ingawa wanajua kuwa mwisho wao utakuwa mbaya.

umenifurahisha unaposema ACT ni vibaraka wa CCM kuuumbe ndio maana!
 
Back
Top Bottom