Nasikia Harufu Kali na Mbaya ndani ya CHADEMA

Nasikia Harufu Kali na Mbaya ndani ya CHADEMA

unaongelea hawa wachumia tumbo vibaraka wa ccm? Mtasubiri sana!

Nnaongelea wajumbe 82 wa chadema waliolalamika Mbowe kujichumia millioni mia sita kwa Fuso mbili chakavu.

kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Mkuu kama hiyo harufu unayoisikia ni kali sana, basi ziba masikio tu.
 
Back
Top Bottom