Kati ya taaluma ambazo hauwezi kusota baada ya kuhitimu ni ualimu wala usibeze. Ni kazi nzuri kama utajielewa.Tatizo sio VX pekee mkuu tatizo na stress zao msimu huu si mchezo cjui ningekuwa mwalimu leo hii ningekuwa na hali gani?
Sawa Mwalimu wa Taaluma.itoshe kukuona wewe mjinga na huna elimu yeyote kichwani isipo kuwa una ajenda yako kuhusu walimu , maaana aliye soma na akaelimika hana mawazo ya kitoto kama yako, tambua taifa haliwezi kuwa na aina moja tu ya mahitaji , hata wewe kufika hapo umepita kwenye mikono ya walimu na hata aliye kufundisha huo u nesi wako pia ni mwalimu sasa sijui kichwani mwako una ongelea tabaka gani la ualimu
na wanao kuunga mkono nao ni wajinga wenzio na mmekutana eajinga watupu maana yeyote yule aliye msomi kapita mikononi kwa mwalimu kuanzia mwalimu wa daraja la chini hadi mwalimu wa daraja la juu sasa sijui kama wote wangetaka kusoma afya nani angekuwa mwalimu wao .. WEWE NI MJINGA NA MTOTO KIFIKRA kama sivyo huna elimu yeyote kichwani mwako au ni muhanga wa kukosa ajira ya ualimu kwa kusoma history na kiswahili hivyo una stress za maisha
Hao labda ni wale wanaochagua sehemu za kufanyia kazi mfano wengi wangependa kupata kazi shule za Dar.Saa hivi wako nyomi wanasota kitaaa we hauwaoni mkuu.??
Kwa maneno yako hayo utakuwa nurse tu ..Katika kazi niliyokuwa naipenda kweli kweli basi ni uwalimu, hta pale nilipokuwa nasoma ndoto zangu zilikuwa siku moja nije kuwa mwalimu.
Nilipomaliza tu elimu yangu direct nikaaply education nikachaguliwa.
Kitu ambacho kilinishtua ni kwamba muda ambao nasubiri kwenda chuo nilikuwa kwa brother na bro alivyoniuliza nilimueleza nia yangu ya kusomea uwalimu.
Alinicheki kwa dharau alafu akanizaba kibao kimoja matata na kuniuliza umeshawahi kumuona mwalimu mwenye VX, au ata land cruiser aliyonunua akiwa kazini?
Nikamjibu hapana ?
Akaniuliza tena umeshawahi kumuona mwalimu alieyejenga nyumba ya kueleweka akiwa kazini?
Nikasema hapana.
Akasema basi achana na hilo wazo lako mfu jioni huyo kanipakiza kwenye mgari wake nasema mgari kwa sababu ni gari siyo ki vitz akanipeleka chuo na kuchukua moja kati ya kozi ya afya mukide kabisa.
Japo mpaka leo ajira hazijatoka ila napiga zangu temporary tu kwa wana leo napiga hapa kesho pale siku zinaenda ningesomea uwalimu sijui hiyo temporary ningepigia wapi na wakati sasa hivi elimu bure.
Dispensary zilivyojaa mjini utakosaje tempo..Ners utapiga tempo wapi mkuu?
Tatizo linalowakwamisha ni kuwa na limited mind. Mimi ni mwalima na kupitia kazi yangu naweza kutengeneza pesa kwa kuandika vitabu na pamphlets kisha napata hela licha ya kuongeza Cv.hela za tuition ambazo mnawapa watoto wenu tsh 30 kwa topic ambayo naifundisha kwa siku nne au tano na nikiwa na vichwa 10 ni laki tatu within a week. Hao niliomaliza nao chuo sijui wamesoma IT, Law, Pharmacy, n.k wanalia kupewa hata vocha kila siku. Popote pale ukiwekwa kama huwez kutafuta idea itakayokupa kipato cha ziada hauwezi ku-move.
Kwa mtu yeyote mwenye mtoto na ni mtu mzima anayejitambua hawez kuwa na mitazamo negative juu ya Waalimu.
Sema tumo humu hatujuani! Kuna watu walikuwa wanapita kando ya Nyumba niliyokuwa namalizia kujenga wakawa wanabishana, mmoja anasema huyu ni Mwalimu mwingine anasema haiwezekani Mwalimu ajenge hekalu zuri na kubwa namna hiyo, pembeni kuna parking ya kufa MTU na Leo kuna usafiri pale si wa kitoto! Nikisikia watu humu wanabeza waalimu ninasema tu Mungu awasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo!! Ni kweli waalimu wanazo changamoto lakini hizo changamoto ziko kwa watumishi wote wa umma labda ukiacha mafisadi ambao kwa sasa wanapumulia kwenye mashine mbele ya JPM!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu ila walimu hawazeeki mapema jamani, kila tukirudi makwetu tunawakuta wapo vile vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Kazi Ya Ualimu Ni Nzuri Sana Basi Tu Tz Wanasiasa Wanachukulia Poa!Me Ni Mwalimu Tena Kijana!Sijutii Kusomea Ualimu Mbona!Izo VX na Nyumba Kali Mbona Hata Mtu Wa Kawaida ambaye hajasoma Anaweza Pata!Ni Kukomaa Tu Na Mitikasi ya Mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
itoshe kukuona wewe mjinga na huna elimu yeyote kichwani isipo kuwa una ajenda yako kuhusu walimu , maaana aliye soma na akaelimika hana mawazo ya kitoto kama yako, tambua taifa haliwezi kuwa na aina moja tu ya mahitaji , hata wewe kufika hapo umepita kwenye mikono ya walimu na hata aliye kufundisha huo u nesi wako pia ni mwalimu sasa sijui kichwani mwako una ongelea tabaka gani la ualimu
na wanao kuunga mkono nao ni wajinga wenzio na mmekutana eajinga watupu maana yeyote yule aliye msomi kapita mikononi kwa mwalimu kuanzia mwalimu wa daraja la chini hadi mwalimu wa daraja la juu sasa sijui kama wote wangetaka kusoma afya nani angekuwa mwalimu wao .. WEWE NI MJINGA NA MTOTO KIFIKRA kama sivyo huna elimu yeyote kichwani mwako au ni muhanga wa kukosa ajira ya ualimu kwa kusoma history na kiswahili hivyo una stress za maisha
Niliwahi kuleta Uzi huku kipindi fulani nadhani ilikua 2016 kua asilimia kubwa ya waalimu uwezo wao ni mdogo, watu wakanishambulia na wengine wakaniunga mkono.
Sio jambo la kupinga ni wazi kabisa kua asilimia kubwa kama sio wote waalimu walilazimilishwa kua waalimu either sababu ya matokeo yao mabovu ya mitihani au poor financial background enzi hizo kusaka mkopo wakajikuta wanaingia humo (nilikua mmoja wao miaka ile nilichaguliwa education na mkopo kabisa ila nikagoma nikabadili kozi nikalipiwa na mdingi)
Rafiki zangu wote ambao nilikua nao na kusoma nao ambao ni waalimu wengi walikua vilaza au kukosa hela tu..
But all in all sidharau kada ya ualimu whether wawe ni failures wa shule or hawakua na hela ila nadhan asilimia kubwa ya waalimu hawana maendeleo sababu ya aina ya watu wanaojiassociate with yaaan ukihang out na aina fulan ya watu kuna asilimia kubwa ya kua masikini au mwenye mafanikio.
Sasa asilimia kubwa hawa waalimu unakuta hawana rivals most of the time wapo wenyewe wenyewe tu na wanafunzi kutakua na maendeleo kweli?!
Ila waalimu wa shule za kishua wana maendeleo sababu pia wanakutana na matajiri wengi plus wanafunzi wenyewe washua so waalimu wanajiongeza. Ila hawa wa akhsante jiwe milele hawawezi kua na maendeleo