Hebu soma jina lake. Uwe mpole.So unashauri Taifa lisiwe na walimu?
Kwamba ualimu Hakuna umuhimu haha haha kama wote watasoma wakawa na mawazo ya kupata vx basi Hakuna maana ya Maisha na hujui maana ya maisha (hujui kwanini unaishi) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jitafakari
bac unawadharauWapi nimewakebehi mkuu?
bac unawadharauWapi nimewakebehi mkuu?
kuna rafiki yangu alisoma HGL akaenda chuo kusomea mambo ya habari....lkn akaachana na hayo mambo akaamua kujitosa na kuanza kudadisi kuhusu programming.. akajua na sasa ana blog yake hapa bongo aliyoitengeneza yy mwnywe inatoa habari mbalimbali... ww endelea kulialia na kujuta2 mwnangMimi najuta kwann sikupata mtu wa kunendeleza kielimu hadi ndoto yangu ya kua Programmer ikafa. BTW maisha bila elimu yanawezekana
Mjumbe usemacho kina uhalisia asilimia mia leo hii wastaafu walimu kumi pia idara nyingine wastaafu watumishi kumi, baada ya miaka mitano tukianza watafuta hawa wastafu basi ni vyepesi kukuta walimu kumi wote wapo na wanafurahia maisha ila hawa wengine unaweza kukuta mmoja yupo anafurahia maisha sita kati yao wamekufa kwa msongo wa mawazo alafu watatu wapo ila choka mbaya maishs yashawapiga vibaya.Baba yangu alikuwa mwalimu,aliosoma nao waliofaulu eti enzi hizo walikuwa wamekimbilia Tazara kufanya kazi na mzee akarudi zake bushi akajijenga na kuweka miradi yake mingi mjini(anachuma bushi anainvest mjini)wale wenzie walikuwa wanakuja bushi na magari ya TAZARA na kumzodoa mshua kuwa alipotea njia.Kwa sasa asilimia kubwa ya wale waliojifanya wajanja wamerudi kijijini wanaishi kwenye mapagale ya wazazi wao baada ya kustaafu kazi,kuachishwa kazi,kupunguzwa na maisha ya town yamewashinda hawakuwa na investment yoyote.Wanataaabika kijijini utawaonea huruma sana watoto wao hawasomi tena.AJIRA SI KITU ISIPOKUWA NI SEHEMU YA WEWE KUPATA MTAJI TUNA KUTUMIA AKILI
Unachosema kinaweza kua kweli kwa upande wa waalimu wa kike tu ila wa kiume napinga...Mjumbe usemacho kina uhalisia asilimia mia leo hii wastaafu walimu kumi pia idara nyingine wastaafu watumishi kumi, baada ya miaka mitano tukianza watafuta hawa wastafu basi ni vyepesi kukuta walimu kumi wote wapo na wanafurahia maisha ila hawa wengine unaweza kukuta mmoja yupo anafurahia maisha sita kati yao wamekufa kwa msongo wa mawazo alafu watatu wapo ila choka mbaya maishs yashawapiga vibaya.