Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

Kwa sababu hawana maendeleo... Yaaan waalimu wangu kuanzia darasa la kwanza mpaka form six hakuna aliyekua na gari isipokua waalimu wa kike tu tena wenyewe ni baby car

Advance ni mwalimu mkuu wa kiume tu ndio alikua vizuri kidogo, waalimu asilimia kubwa taabani

Nimetembea mikoa karibu yote nchi hii nimeona hali za waalimu ni taaban, waalimu wa kike wanagongwa sana na wakurugenzi na wakuu wa wilaya ili wale mema out of that wana hali mbaya sana kimaisha

Trust me 2015 nikiwa Kigoma kikazi wakati wa uchaguzi mkuu nilikua kule kama domestic observer nikawa nahitaji waalimu kama 20 wa kunisaidia kua observers vituoni yaaan nilikua nafatwa hotelin hadi usiku wa manane na waalimu wakiniomba niwape kazi, aiseeee waalimu wapo taabani sana
Mkuu ukisema ukweli wanasema unawaonea au unawadharau .
 
Mkuu Zero IQ hebu jiforge kidogo basi kujipa walau vibusara hata vya kupaka uache kuwadhalilisha walimu bhana,Mbona umekuwa na nyuzi nyingi za kuwashambulia walimu???
Tuna wazazi wetu,Wazee wetu ambao tunawaheshimu kwa kazi yao hiyo hiyo ya ualimu sasa unakosea mkuu kuwadhaliisha bhana as long Riziki anayetoa ni Mola pekee.
Uungwana ni vitendo mkuu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona unacheka mkuu ? Au unacheka kwa sababu ya kibao alichonipiga brother kwa kweli namuheshimu sana,
Kwa wakati ule sikuona umuhimu wa kile kibao ila sasa nimeona na nina mpango niende nimpe na Shavu la pili anichape kingine matata kama Asante ya kibao chake cha kwanza.
 
Nilipokuwaga sijakaw mjini nipo kijijini uko hizi story walimu wanq shida sijui nini nilizisikiaga sana na nikamini sasa nilipo toka uko vijijini kuja mjini, nikawa nashangaa naona walimu wana magari, nyumba nk nikawa najiuliza inakuwaje hawa mbona niliambiwa wana shida sana

Jamaa yangu mmoja akanipeleka duka moja hivi akaniambia hili duka la mwalimu lakini pia anafanya biashara ya kukopesha pesa nikamuuliza anakopesha walimu wenzake janaa akacheka akasema siyo walimu tu hapa wanakopa madocta, nurse watumishi mbali mbali nikamwambia mbona walimu nasikia njaa sana

Jamaa akajibu tatizo walimu wapo wengi sana na wapo karibu na jamii hivyo ni vyepesi mtu kujua matatizo yao lakini shida hizi kila idara zipo sema hao wengine ni wachache hivyo kujua matatizo yao ni vigumu

Jamaa akaendelea akasema hivi unajua hao unaona madocta, wana sheria sijui bankers nk hivi unajua asilimia 90 ni watoto wa walimu yani wazazi wao ni walimu walisomesha kwa pesa ya mshahara wa mwalimu nikawaza nikaona kweli

Jamaa akaendea akasema walimu wanadharaulika sababu ya kusimamia logic na vitu vya msingi ndio maana utasikia walimu wajinga unamkopesha anakulipa na riba juu si kwamba mjinga anaheshimu ustarabu wanajua ile ni haki yako mtu bora akupe

Basi nikasema ooh kumbe walimu usipowajua unaweza wadharau sana.
Baba yangu alikuwa mwalimu,aliosoma nao waliofaulu eti enzi hizo walikuwa wamekimbilia Tazara kufanya kazi na mzee akarudi zake bushi akajijenga na kuweka miradi yake mingi mjini(anachuma bushi anainvest mjini)wale wenzie walikuwa wanakuja bushi na magari ya TAZARA na kumzodoa mshua kuwa alipotea njia.Kwa sasa asilimia kubwa ya wale waliojifanya wajanja wamerudi kijijini wanaishi kwenye mapagale ya wazazi wao baada ya kustaafu kazi,kuachishwa kazi,kupunguzwa na maisha ya town yamewashinda hawakuwa na investment yoyote.Wanataaabika kijijini utawaonea huruma sana watoto wao hawasomi tena.AJIRA SI KITU ISIPOKUWA NI SEHEMU YA WEWE KUPATA MTAJI TUNA KUTUMIA AKILI
 
Mkuu Zero IQ hebu jiforge kidogo basi kujipa walau vibusara hata vya kupaka uache kuwadhalilisha walimu bhana,Mbona umekuwa na nyuzi nyingi za kuwashambulia walimu???
Tuna wazazi wetu,Wazee wetu ambao tunawaheshimu kwa kazi yao hiyo hiyo ya ualimu sasa unakosea mkuu kuwadhaliisha bhana as long Riziki anayetoa ni Mola pekee.
Uungwana ni vitendo mkuu.
Mkuu sijawadhalilisha ila ni moja ya changamoto wengi wanabweteka kwa ile heshima tu ya kuitwa mwalimu basi wanaona washamaliza kila kitu.
 
Mkuu sijawadhalilisha ila ni moja ya changamoto wengi wanabweteka kwa ile heshima tu ya kuitwa mwalimu basi wanaona washamaliza kila kitu.
Njoo kiushauri sasa na sio kwa mashambulizi kama hayo mkuu,unajua kweli maisha ya mwalimu ni magumu lakini unahisi ni kosa lake?mfumo ndo uliomtupa,wengine tumezaliwa na wazazi walimu mapenzi waliyotupa,miongozo na vyote leo hii tumepata kazi nzuri lakini hatuwezi kuwalipa mkuu so km umekwazwa na vijana kadhaa walimu basi usiwadhalilishe walimu wote coz mchango wao utauona ukiwa na mtoto.
 
Mi kweli naumia unavyowashambulia maana mbona kuna watu wanafanya ktk maofisi makubwa na mishahara minono lakini bado wana stress kibao??
 
Njoo kiushauri sasa na sio kwa mashambulizi kama hayo mkuu,unajua kweli maisha ya mwalimu ni magumu lakini unahisi ni kosa lake?mfumo ndo uliomtupa,wengine tumezaliwa na wazazi walimu mapenzi waliyotupa,miongozo na vyote leo hii tumepata kazi nzuri lakini hatuwezi kuwalipa mkuu so km umekwazwa na vijana kadhaa walimu basi usiwadhalilishe walimu wote coz mchango wao utauona ukiwa na mtoto.
Mkuu ni bora Ukweli unaouma utakufanya ujitafakari kuliko Uongo unaokusifia huo hautokufanya ufanikiwe kamwe...!

Hapa tunapeana changamoto na sio kwamba nawachukia hapana .

Nawapenda sana walimu tena sana ila nimejaribu kuja na Andiko lenye maneno ya namna hii ili ata mwalimu akiingia kusoma imuume aonekane anadharaurika ili kama alikuwa anabweteka basi atapata moli ya kuwa na wazo mbadala.

Siyo kila siku tuje na maandiko ya kuwasifia na kuwaona wa maana sana hapo wanabweteka watajua bila wao nothing can hapen.
 
Exactly naunga mkono hoja, ndio maana hakuna maendeleo mpaka hivi leo kiuchumi sababu tumekua wanafiki wa kuwasifia wanasiasa so nao wanabweteka wanaona hata nisipofanya nitachaguliwa tu.

Kuna ule msemo wa kisiasa kua akyanani mkimsimamisha huyo mgombea na tofali tutapigia kura tofali

So its better ukweli mchungu mbona hata mie mama yangu alikua mwalimu wa forodhan enzi hizo...Nina ndugu kibao waalimu na naona mfumo wao wa maisha ni bure kabisa

Kuna kipindi mama akiadmit mwenyewe kua akimkubali baba na kuolewa nae simply sababu alikua mashine na alikua na maendeleo, so ukweli unabaki kua ukweli hata uupake rangi
 
That'z true mkuu wanataka tuwasifie tu na ndio maana Africa hatuendelei ,

Wazungu wao kazi kutusifia Africa kuna mbuga nzuri,madini ya kila aina,Vitu vya asili na mambo kibao.

Basi tukisikia tunajiona tuko vizuri tunacheka na kuvimba kichwa kwamba tuna utajiriiii wakati wao wakizidi kutupiga gape kwenye kila kitu.

Na ndio sababu ukitaka kuwa rafiki wa waafrica basi we kaa umsifie tu ata kama anaboronga.
 
Yaaan hii ipo sana maeneo ya bar mkiwa mnapiga monde sasa zikianza kukolea kwa mbali uanze kumsifia jamaa "yaaan katika marafiki zangu we jamaa ndio kichwa, unajitambua unajua kupambana na blah blah zingine kibao" aiseeee utashangaa kila mara mhudumu anaitwa "mletee mbili zingine na kila moja ikiisha ongeza yaaan asikaukiwe bia" damn yaaan

Poor us
 
ulishauriwa vyema sana ungejuta sana hii kada haina adabu hata kidogo binafsi ni Mwalimu lakini machozi na damu yanayotoka hapana ajira toka 2011 mpaka leo nasota na tgts D ambayo walioajiriwa 2012,2013,2014 na 2015 ni hiyo hiyo mnalingana mshahara na mwanafunzi wako uliemfundisha nae akaja kuwa Mwalimu yaani digrii yangu ya ualimu naijutia sana! Fundisho kamwe siwezi ruhusu kabisa anaenihusu awe Mwl mshukuru sana aliekugonga kofi mana ulipata akili ya kudumu!
mwnzngu ulifeli ww...usiwakaririshe wengne kufeli kwako..
 
Yaaan hii ipo sana maeneo ya bar mkiwa mnapiga monde sasa zikianza kukolea kwa mbali uanze kumsifia jamaa "yaaan katika marafiki zangu we jamaa ndio kichwa, unajitambua unajua kupambana na blah blah zingine kibao" aiseeee utashangaa kila mara mhudumu anaitwa "mletee mbili zingine na kila moja ikiisha ongeza yaaan asikaukiwe bia" damn yaaan

Poor us
Siyo poor tu ni Poorest kabisa we don't think positive .
 
Nipo nje ya mada kidogo, jamani nisaidieni natafta kazi ya kufundisha mbwa.
Ingia Facebook search jina hili "4 dogs trainers" utaona page ya hao jamaa wanafundisha mbwa pia katika hiyo page mtafute mtu anaitwa "Evance Peter" basi huyo naye ni mtaalamu kwenye sector ya dog training....

Kila la kheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom