Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

Niliwahi kuleta Uzi huku kipindi fulani nadhani ilikua 2016 kua asilimia kubwa ya waalimu uwezo wao ni mdogo, watu wakanishambulia na wengine wakaniunga mkono.

Sio jambo la kupinga ni wazi kabisa kua asilimia kubwa kama sio wote waalimu walilazimilishwa kua waalimu either sababu ya matokeo yao mabovu ya mitihani au poor financial background enzi hizo kusaka mkopo wakajikuta wanaingia humo (nilikua mmoja wao miaka ile nilichaguliwa education na mkopo kabisa ila nikagoma nikabadili kozi nikalipiwa na mdingi)
Rafiki zangu wote ambao nilikua nao na kusoma nao ambao ni waalimu wengi walikua vilaza au kukosa hela tu..
But all in all sidharau kada ya ualimu whether wawe ni failures wa shule or hawakua na hela ila nadhan asilimia kubwa ya waalimu hawana maendeleo sababu ya aina ya watu wanaojiassociate with yaaan ukihang out na aina fulan ya watu kuna asilimia kubwa ya kua masikini au mwenye mafanikio.
Sasa asilimia kubwa hawa waalimu unakuta hawana rivals most of the time wapo wenyewe wenyewe tu na wanafunzi kutakua na maendeleo kweli?!
Ila waalimu wa shule za kishua wana maendeleo sababu pia wanakutana na matajiri wengi plus wanafunzi wenyewe washua so waalimu wanajiongeza. Ila hawa wa akhsante jiwe milele hawawezi kua na maendeleo

Afu mtu anakuja na sababu za kijinga eti tuwaheshimu sana walimu kwa sababu wamejitoa kutufundishia watoto wetu, mimi nasema BIG NO ! Wengi wako huko kwa matatizo yao wenyewe hasa kufeli au kukimbilia mkopo lakini si kwa sababu ya wito. Walimu waheshimiwe kama watu wengine katika taaluma zingine. Daktari naweza kusema ni wito kwani ili ufike huko kichwani lazima uwe vizuri na uwe na wito hasa. Hawa walimu mkiwarekebishia matokeo yao basi wote wanasepa, wapo hapo kwa mkwamo
 
Katika kazi niliyokuwa naipenda kweli kweli basi ni uwalimu, hta pale nilipokuwa nasoma ndoto zangu zilikuwa siku moja nije kuwa mwalimu.

Nilipomaliza tu elimu yangu direct nikaaply education nikachaguliwa.

Kitu ambacho kilinishtua ni kwamba muda ambao nasubiri kwenda chuo nilikuwa kwa brother na bro alivyoniuliza nilimueleza nia yangu ya kusomea uwalimu.

Alinicheki kwa dharau alafu akanizaba kibao kimoja matata na kuniuliza umeshawahi kumuona mwalimu mwenye VX, au ata land cruiser aliyonunua akiwa kazini?

Nikamjibu hapana ?

Akaniuliza tena umeshawahi kumuona mwalimu alieyejenga nyumba ya kueleweka akiwa kazini?

Nikasema hapana.

Akasema basi achana na hilo wazo lako mfu jioni huyo kanipakiza kwenye mgari wake nasema mgari kwa sababu ni gari siyo ki vitz akanipeleka chuo na kuchukua moja kati ya kozi ya afya mukide kabisa.

Japo mpaka leo ajira hazijatoka ila napiga zangu temporary tu kwa wana leo napiga hapa kesho pale siku zinaenda ningesomea uwalimu sijui hiyo temporary ningepigia wapi na wakati sasa hivi elimu bure.

Huna msimamo. Unapangiwa tu usiyokuwa na passion nayo.
Better hukuwa mwalimu.
Furaha yako sio ya mwingine.
Kuna jamaa yangu mmoja humtoi kwenye Ugali maharagwe, ndio anachokipenda, ndio kinampa raha na amani ya moyo.

Subiri utakuja kuchaguliwa mke.

* muhimu sana hii soma uielewe.

Maisha mazuri ni yepi?
Ulinganisho huo mpaka unafikia conclusion hii umeufanyeje??
Umechukua total number ya waliosoma educstion vs waliosoma socilogy+ law + accounts ndio ukaona life ya group LA pili ni better au umelinganisha huyu na yule??

Until two years ago watu mlisema bora mngesoma ualim at least use kwenye payroll, walau uwe na assurance ya matibabu ukiugua, ukopesheke n.k.
Huna ajira unadharau ualim?? Wivu huo.

Ni suala LA muda tu, atatokea MTU aseme teaching iwe high paying job.
 
Ivi mnajua salary scale ya mwalimu sasaivi wa degree mwenye tgts D anazidiwa na askari polisi form four failure!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani askari bwana wanatu allowance ukitujumlisha kiaskari kina mzidi mwalimu bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]

Yaani hii nchi Raha sana, alafu almost tichas saiz rafkizangu wengi walio ajiriwa 2012 nadhani ndio kundi la waalimu wenye stress kuliko kawaida, toka waajiliwe mwaka 2012 asilimia 90 hawaja badilishiwa ma daraja. Yaani wanapokea mishahra ya daraja lile lile la 2012 na niwengi mnooooo Lakini wa mwaka 2013 tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wakti kada zingine zinafikiliwa alowance waalimu huwa wanafikiliwa makato tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Nashukuru mungu kuiacha hii kazi aiseee!!!
Walimu wengi elimu yetu ndogo...

Wengi tUmejificha huku na performance yetu ndogo.

Tuacheni tu tupambane na hali zetu
 
Waalimu wengi wamekata tamaa, hata mawazo yao ukiwasikiliza wanawaza kupata shavu either kwenda kusaisha mitihani au kusimamia mtihani wa NECTA.

Ukimkuta kazini hana issue ya maana anayowaza ila mfukoni empty utakachokiona zaidi ni majina ya wapiga kelele au wachelewaji.
Hivi hizi dharau mnazitoa wapi??au wewe hukufundishwa na hao unaowasimanga kwa maneno ya dharau? Imagine kudingekuwa na mwalimu wewe leo ungekua nani? Haya ni maswali machache ambayo waweza kaa chini halafu ukajiuliza. Pia binadamu Haiwezekan wote tufanane.ikitokea siku binadam tukafanana kwa kila nyanja basi ndio utakua mwisho wa dunia.Nafikiri kuna haja ya kuwa wastaarabu hata kama unauwezo kuzidi wenzako
 
Katika kazi niliyokuwa naipenda kweli kweli basi ni uwalimu, hta pale nilipokuwa nasoma ndoto zangu zilikuwa siku moja nije kuwa mwalimu.

Nilipomaliza tu elimu yangu direct nikaaply education nikachaguliwa.

Kitu ambacho kilinishtua ni kwamba muda ambao nasubiri kwenda chuo nilikuwa kwa brother na bro alivyoniuliza nilimueleza nia yangu ya kusomea uwalimu.

Alinicheki kwa dharau alafu akanizaba kibao kimoja matata na kuniuliza umeshawahi kumuona mwalimu mwenye VX, au ata land cruiser aliyonunua akiwa kazini?

Nikamjibu hapana ?

Akaniuliza tena umeshawahi kumuona mwalimu alieyejenga nyumba ya kueleweka akiwa kazini?

Nikasema hapana.

Akasema basi achana na hilo wazo lako mfu jioni huyo kanipakiza kwenye mgari wake nasema mgari kwa sababu ni gari siyo ki vitz akanipeleka chuo na kuchukua moja kati ya kozi ya afya mukide kabisa.

Japo mpaka leo ajira hazijatoka ila napiga zangu temporary tu kwa wana leo napiga hapa kesho pale siku zinaenda ningesomea uwalimu sijui hiyo temporary ningepigia wapi na wakati sasa hivi elimu bure.

Mwalimu mchapakazi, ambaye sio mtegemea ndugu kama wewe, akitupwa pori akatumia fursa , kima humkuti na vimshahara vyenu vya kula chips kuku huko mjini.

1). Utajiri wa kijamii na mahusiano. Kwa kijijini au hata town, mwalimu akiamua kutumia wanafunzi kuwa na connections humkuti.
2). Vijijini pengi wao wanazo fursa za kufanya biashara ya mazao ns mifugo at very cheap price na kuuza pengine na kupata faida. Wewe sijui unaangalia waalim wa town, njoo bush ukutane na msticha mafogo.
Duka lake, gari LA kwenda town lake.
Wewe unataka mafanikio ya haraka yanayopotea haraka, mwalimu aliyeanza kazi na 24 years after 15 years atashangaa ssna ujinga unaoongea, labda awe mtoto wa mama kama wewe.
 
Hivi hizi dharau mnazitoa wapi??au wewe hukufundishwa na hao unaowasimanga kwa maneno ya dharau? Imagine kudingekuwa na mwalimu wewe leo ungekua nani? Haya ni maswali machache ambayo waweza kaa chini halafu ukajiuliza. Pia binadamu Haiwezekan wote tufanane.ikitokea siku binadam tukafanana kwa kila nyanja basi ndio utakua mwisho wa dunia.Nafikiri kuna haja ya kuwa wastaarabu hata kama unauwezo kuzidi wenzako
Mwalimu aliyemfundisha alilipwa mshahara kwa kazi yake hivyo hakuifanya bure ,

Kwa hiyo kushukuru siyo lazima.
 
Mwalimu mchapakazi, ambaye sio mtegemea ndugu kama wewe, akitupwa pori akatumia fursa , kima humkuti na vimshahara vyenu vya kula chips kuku huko mjini.

1). Utajiri wa kijamii na mahusiano. Kwa kijijini au hata town, mwalimu akiamua kutumia wanafunzi kuwa na connections humkuti.
2). Vijijini pengi wao wanazo fursa za kufanya biashara ya mazao ns mifugo at very cheap price na kuuza pengine na kupata faida. Wewe sijui unaangalia waalim wa town, njoo bush ukutane na msticha mafogo.
Duka lake, gari LA kwenda town lake.
Wewe unataka mafanikio ya haraka yanayopotea haraka, mwalimu aliyeanza kazi na 24 years after 15 years atashangaa ssna ujinga unaoongea, labda awe mtoto wa mama kama wewe.
Mi sio mtegemea ndugu ila nilipewa wazo na Ndugu kwa sababu ata wewe haujafika hapo ulipo kwa msaada wako binafsi lazima kuna mtu alikuinua either mzazi wako kwa kukusomesha au ndugu baki .
 
Hili Toto ***** kweli.. Siajabu utakua unasomea ushoga.. Nakupiga tempo daily.. Tuliza kichwa bestie, utapenyezewa dushe choo kubwani hukooo.. Kisa kuropoka kwako kwa maandishi..
Vipi mkuu una stress za kukataliwa na mwanafunzi wako wa darasa la Tano nini?

Mbona uko povu nyingi punguza munkali boss.
 
Nyuzi za walimu nazipendaga sana..nasoma kila kitu[emoji23] . Walimu wapo vizuri kujitetea hawachoki. Kuna walimu wa aina mbili humu

1.vijana
Hawa hawakawii kutukana na kutoa maneno ya shombo kwa yeyote anayewaboa.
*baadhi yao hukili kua walifanya wrong choice kua walimu. Huku wengine wakijitetea kua wameweza kufika hatua za kimaendeleo

2. WAZEE
-hawa ndio wale ukisikia ule msemo ualimu ni wito basi walimu wenyewe ndio hawa
*wengi wao wapo mikoani na hujishughulisha na kilimo ambacho wanadai kinalipa
*wana maneno ya busara
*si wepesi kukasirika
*wanaipenda kazi yao.na ni wabishi sana
 
Bora ata uliachana na hilo wazo mim kuna watu nawafaham wanajuta tangu wagraduate hakuna ajira mpaka leo
 
Kuna maana kubwa ya hicho kibao,
Kwanza, kuna uwezekano unazoakili za darasani lakini akili ya maisha huna mpaka uzabuliwe vibao,

Pili. Hayo ni malezi yako, na ni uatari hasa linapokuja swala la kujitegemea. Waso wasi wangu ni pale unapofurahia kutokuwa mwalimu na kuwa mfanya kazi wa mtu.

Tatu, either utakuwa umelelewa kwenye familia ambayo msomi uko pekee yako na elimu yako imeshikwa na vipato vya ndigu zako. Ndio maana mpaka unaenda chuo hulijui chaguo sahihi la nini unapenda, ulibuluzwa mkuku na ukashtukia unatupwa tu darasani, nina uhakika siku ukikutana na changamoto za hiyo kazi utaumia mnoo tena mnoo kwa kuwa haikuwa ndoto zako.

Nne, umeikomboa elimu lakini elimu haijakukomboa
Naona wewe ndio huna malezi mazuri,unashangaa kibao kutoka kwa kaka?!! Au huna watu waliokusimamia sawasawa. Au wewe mjeuri na kibri. Maoni tu.
 
Naona wewe ndio huna malezi mazuri,unashangaa kibao kutoka kwa kaka?!! Au huna watu waliokusimamia sawasawa. Au wewe mjeuri na kibri. Maoni tu.
Vyema umemuuliza mkuu?
 
Nani kakwambia waalimu wana maisha magumu zaidi kuliko watumishi wengine? Wote tunaishi Tz kama ni ugumu ni kwa wote! After all, waalimu wako vizuri zaidi ya kazi nyingi tu! Tatizo watu wamekariri!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana brother walimu wana maisha magumu. Kuna jamaa alijikuta ana msongo wa mawazo mpk akachizika kabisa lakini alipona. Sababu ilikua alijikuta hawezi kumudu mahitaji kibao licha ya umri, yaani hana nyumba,ana mtoto,ana mdogo aende shule advance,anategemewa na bibi yake,yeye mwenyewe kujihudumia ikawa ngumu sana,jumlisha mkopo wa benki. Wengi wako hivi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom