Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

Katika kazi niliyokuwa naipenda kweli kweli basi ni uwalimu, hta pale nilipokuwa nasoma ndoto zangu zilikuwa siku moja nije kuwa mwalimu.

Nilipomaliza tu elimu yangu direct nikaaply education nikachaguliwa.

Kitu ambacho kilinishtua ni kwamba muda ambao nasubiri kwenda chuo nilikuwa kwa brother na bro alivyoniuliza nilimueleza nia yangu ya kusomea uwalimu.

Alinicheki kwa dharau alafu akanizaba kibao kimoja matata na kuniuliza umeshawahi kumuona mwalimu mwenye VX, au ata land cruiser aliyonunua akiwa kazini?

Nikamjibu hapana ?

Akaniuliza tena umeshawahi kumuona mwalimu alieyejenga nyumba ya kueleweka akiwa kazini?

Nikasema hapana.

Akasema basi achana na hilo wazo lako mfu jioni huyo kanipakiza kwenye mgari wake nasema mgari kwa sababu ni gari siyo ki vitz akanipeleka chuo na kuchukua moja kati ya kozi ya afya mukide kabisa.

Japo mpaka leo ajira hazijatoka ila napiga zangu temporary tu kwa wana leo napiga hapa kesho pale siku zinaenda ningesomea uwalimu sijui hiyo temporary ningepigia wapi na wakati sasa hivi elimu bure.
Mpaka unaenda chuo unazabwa kibao na braza??

Kweli elimu ya tz majanga
 
cha msingi ni kumshukuru MUNGU..!! kuna watu wanatamani hata hiyo kazi ya elfu themanini mwisho wa mwezi,hawaipati!!
 
Unaijua bei vx v8 wew kuwadharau walimu tuu haya umesomea taaluma nyingine tuoneshe vx lako au la kaka yako kununua hayo magari mpka uwe kwenye system na ukwibe kweli kweli ndo ununue au ufanye business ya maana sio kwa mshahara direct haya nenda kaoshe vyombo vya blaza ako vinakusubiri
Vx mtumba! Hakuna mtumishi wa umma anayeweza kununua vx MPYA!!! Mpumbavu huyo anatamba na mtumba wa vx!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ulitaka nifanyaje au ulitaka Nimrudishie ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna maana kubwa ya hicho kibao,
Kwanza, kuna uwezekano unazoakili za darasani lakini akili ya maisha huna mpaka uzabuliwe vibao,

Pili. Hayo ni malezi yako, na ni uatari hasa linapokuja swala la kujitegemea. Waso wasi wangu ni pale unapofurahia kutokuwa mwalimu na kuwa mfanya kazi wa mtu.

Tatu, either utakuwa umelelewa kwenye familia ambayo msomi uko pekee yako na elimu yako imeshikwa na vipato vya ndigu zako. Ndio maana mpaka unaenda chuo hulijui chaguo sahihi la nini unapenda, ulibuluzwa mkuku na ukashtukia unatupwa tu darasani, nina uhakika siku ukikutana na changamoto za hiyo kazi utaumia mnoo tena mnoo kwa kuwa haikuwa ndoto zako.

Nne, umeikomboa elimu lakini elimu haijakukomboa
 
Ualimu ni wito....ni key moja muhim sana Katika nchi...Sema kibongo bongo tunawadharau sana hawa Jamaa.
 
Tatizo sio VX pekee mkuu tatizo na stress zao msimu huu si mchezo cjui ningekuwa mwalimu leo hii ningekuwa na hali gani?
Kuna waalimu kibao wana maisha bora kuliko wewe! Wana usafiri mzuri na nyumba nzuri kuliko yako! Tatizo watu hujisifia kazi zenye mianya ya wizi na rushwa lakini jehanamu inawasubiri! Mwalimu ana mshahara mkubwa kuliko afisa utumishi, kuliko MHASIBU, kuliko afisa kilimo, kuliko bwana mifugo nk! Sema watu wamekariri uongo!! Hao wengine wakibaniwa ufisadi hamna kitu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna maana kubwa ya hicho kibao,
Kwanza, kuna uwezekano unazoakili za darasani lakini akili ya maisha huna mpaka uzabuliwe vibao,

Pili. Hayo ni malezi yako, na ni uatari hasa linapokuja swala la kujitegemea. Waso wasi wangu ni pale unapofurahia kutokuwa mwalimu na kuwa mfanya kazi wa mtu.

Tatu, either utakuwa umelelewa kwenye familia ambayo msomi uko pekee yako na elimu yako imeshikwa na vipato vya ndigu zako. Ndio maana mpaka unaenda chuo hulijui chaguo sahihi la nini unapenda, ulibuluzwa mkuku na ukashtukia unatupwa tu darasani, nina uhakika siku ukikutana na changamoto za hiyo kazi utaumia mnoo tena mnoo kwa kuwa haikuwa ndoto zako.

Nne, umeikomboa elimu lakini elimu haijakukomboa
Nashukuru kwa kuwa niliona chaguo langu sahihi la kuwa mwalimu lakini upande wa pili bro Alinishtua kwa kibao matata ili nitazame mbele(wanasema utu uzima dawa)

Leo namshukuru kwa kile kibao alichonipa maana kimenionyesha kwa kiasi gani sikuwa Sahihi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo linalowakwamisha ni kuwa na limited mind. Mimi ni mwalima na kupitia kazi yangu naweza kutengeneza pesa kwa kuandika vitabu na pamphlets kisha napata hela licha ya kuongeza Cv.hela za tuition ambazo mnawapa watoto wenu tsh 30 kwa topic ambayo naifundisha kwa siku nne au tano na nikiwa na vichwa 10 ni laki tatu within a week. Hao niliomaliza nao chuo sijui wamesoma IT, Law, Pharmacy, n.k wanalia kupewa hata vocha kila siku. Popote pale ukiwekwa kama huwez kutafuta idea itakayokupa kipato cha ziada hauwezi ku-move.
Kwa mtu yeyote mwenye mtoto na ni mtu mzima anayejitambua hawez kuwa na mitazamo negative juu ya Waalimu.
 
Mimi sipo kwenye ualimu wala sjasomea Education haya nyinyi msio waalimu ni swala dogo tuonesheni hizo vx !!kwaajira za bongo bado sana hizo gari kumiliki mwajiriwa wa JMT!!
Inachekesha sana! Wamo humu wanaodharau waalimu kwa kukariri tu! Hata mwenye KIPATO cha laki 4, 5, 6, 7, 8, 9 naye anadharau waalimu akidhani anawazidi kitu kumbe hakuna chochote! Hao wasio waalimu tunaishi nao mitaani na hawana chochote cha kujisifia wala kuwazidi waalimu! Hata wauza miili yao wamo humu nao wanawadharau waalimu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaijua bei vx v8 wew kuwadharau walimu tuu haya umesomea taaluma nyingine tuoneshe vx lako au la kaka yako kununua hayo magari mpka uwe kwenye system na ukwibe kweli kweli ndo ununue au ufanye business ya maana sio kwa mshahara direct haya nenda kaoshe vyombo vya blaza ako vinakusubiri
hahaaa mwalimu umepanic...."" kama nakuona hapo ulipo hata hela yakunywa maziwa iliuondoe vumbi La chaki huna....

Zero IQ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]toa ushauri wa kuwasaidia walimu nini kifanyike?
hahaaa...ushauri sio kwa walimu wa nchi hii"" wataishia kuufagia na kwenda kuutupa kwenye pipa la taka"" so waendelee kusubiri posho zao za mei mosi tu .......""
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom