Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

Katika kazi niliyokuwa naipenda kweli kweli basi ni uwalimu, hta pale nilipokuwa nasoma ndoto zangu zilikuwa siku moja nije kuwa mwalimu.

Nilipomaliza tu elimu yangu direct nikaaply education nikachaguliwa.

Kitu ambacho kilinishtua ni kwamba muda ambao nasubiri kwenda chuo nilikuwa kwa brother na bro alivyoniuliza nilimueleza nia yangu ya kusomea uwalimu.

Alinicheki kwa dharau alafu akanizaba kibao kimoja matata na kuniuliza umeshawahi kumuona mwalimu mwenye VX, au ata land cruiser aliyonunua akiwa kazini?

Nikamjibu hapana ?

Akaniuliza tena umeshawahi kumuona mwalimu alieyejenga nyumba ya kueleweka akiwa kazini?

Nikasema hapana.

Akasema basi achana na hilo wazo lako mfu jioni huyo kanipakiza kwenye mgari wake nasema mgari kwa sababu ni gari siyo ki vitz akanipeleka chuo na kuchukua moja kati ya kozi ya afya mukide kabisa.

Japo mpaka leo ajira hazijatoka ila napiga zangu temporary tu kwa wana leo napiga hapa kesho pale siku zinaenda ningesomea uwalimu sijui hiyo temporary ningepigia wapi na wakati sasa hivi elimu bure.

itoshe kukuona wewe mjinga na huna elimu yeyote kichwani isipo kuwa una ajenda yako kuhusu walimu , maaana aliye soma na akaelimika hana mawazo ya kitoto kama yako, tambua taifa haliwezi kuwa na aina moja tu ya mahitaji , hata wewe kufika hapo umepita kwenye mikono ya walimu na hata aliye kufundisha huo u nesi wako pia ni mwalimu sasa sijui kichwani mwako una ongelea tabaka gani la ualimu

na wanao kuunga mkono nao ni wajinga wenzio na mmekutana eajinga watupu maana yeyote yule aliye msomi kapita mikononi kwa mwalimu kuanzia mwalimu wa daraja la chini hadi mwalimu wa daraja la juu sasa sijui kama wote wangetaka kusoma afya nani angekuwa mwalimu wao .. WEWE NI MJINGA NA MTOTO KIFIKRA kama sivyo huna elimu yeyote kichwani mwako au ni muhanga wa kukosa ajira ya ualimu kwa kusoma history na kiswahili hivyo una stress za maisha
 
Katika kazi niliyokuwa naipenda kweli kweli basi ni uwalimu, hta pale nilipokuwa nasoma ndoto zangu zilikuwa siku moja nije kuwa mwalimu.

Nilipomaliza tu elimu yangu direct nikaaply education nikachaguliwa.

Kitu ambacho kilinishtua ni kwamba muda ambao nasubiri kwenda chuo nilikuwa kwa brother na bro alivyoniuliza nilimueleza nia yangu ya kusomea uwalimu.

Alinicheki kwa dharau alafu akanizaba kibao kimoja matata na kuniuliza umeshawahi kumuona mwalimu mwenye VX, au ata land cruiser aliyonunua akiwa kazini?

Nikamjibu hapana ?

Akaniuliza tena umeshawahi kumuona mwalimu alieyejenga nyumba ya kueleweka akiwa kazini?

Nikasema hapana.

Akasema basi achana na hilo wazo lako mfu jioni huyo kanipakiza kwenye mgari wake nasema mgari kwa sababu ni gari siyo ki vitz akanipeleka chuo na kuchukua moja kati ya kozi ya afya mukide kabisa.

Japo mpaka leo ajira hazijatoka ila napiga zangu temporary tu kwa wana leo napiga hapa kesho pale siku zinaenda ningesomea uwalimu sijui hiyo temporary ningepigia wapi na wakati sasa hivi elimu bure.

Waalimu gani unao wazungumzia?
 
Sasa kama haukuwa mjinga ni nini? Unasoma comb ya sience unakuja ualimu? Ningekuwa mimi kaka ningekuchoma kisu kabisa
 
So unashauri Taifa lisiwe na walimu?
Kwamba ualimu Hakuna umuhimu haha haha kama wote watasoma wakawa na mawazo ya kupata vx basi Hakuna maana ya Maisha na hujui maana ya maisha (hujui kwanini unaishi) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jitafakari
Mara kumi
 
Tusikwepe uhalisia mkuu,mwalimu mazingira yake ya kazi ni magumu kuliko mtumishi yeyote wa serikali
 
Unaijua bei vx v8 wew kuwadharau walimu tuu haya umesomea taaluma nyingine tuoneshe vx lako au la kaka yako kununua hayo magari mpka uwe kwenye system na ukwibe kweli kweli ndo ununue au ufanye business ya maana sio kwa mshahara direct haya nenda kaoshe vyombo vya blaza ako vinakusubiri
Usipaniki ndugu yangu, msome na uelewe mkutadha wa alichoandika.
 
Hii kazi ina dharaulika sana..na walimu wenyewe wanadharauliana.mwalimu mkuu anakua anataka kujifanya mungu wa walimu wenzie
 
Kuna jamaa yangu amemaliza education hapo UDSM 2015, saivi ni education advisor wa US embassy, ya Mungu mengi.
Duh kapata shavu..but sijui kwann sikuizi nikisikia mambo ya ubaloni akili inahama.one day yes
 
Tatizo linalowakwamisha ni kuwa na limited mind. Mimi ni mwalima na kupitia kazi yangu naweza kutengeneza pesa kwa kuandika vitabu na pamphlets kisha napata hela licha ya kuongeza Cv.hela za tuition ambazo mnawapa watoto wenu tsh 30 kwa topic ambayo naifundisha kwa siku nne au tano na nikiwa na vichwa 10 ni laki tatu within a week. Hao niliomaliza nao chuo sijui wamesoma IT, Law, Pharmacy, n.k wanalia kupewa hata vocha kila siku. Popote pale ukiwekwa kama huwez kutafuta idea itakayokupa kipato cha ziada hauwezi ku-move.
Kwa mtu yeyote mwenye mtoto na ni mtu mzima anayejitambua hawez kuwa na mitazamo negative juu ya Waalimu.
Mkuu.hongera .walimu wenye mawazo kama yako ni wachache sana. Na wote wangekua wana positive thinking hiyo mngeendelea

Tatizo walimu sometime baadhi wanajitakia kudharaulika.unakuta mwalimu anavaa nguo week nzima anarudia tu.mwalimu mpaka anastaafu hamiliki hata kiwanja
 
hilo nalipigia tizi " lazima nilifanyie kazi aisee... nimechoka kuwa mpenzi mtazamaji..dhidi ya walaji keki ya taifa
Mkuu una mawazo kama yangu.yani mi sikubàli in ten years to come lazima niwe na mjengo na ndinga kali za wizi
 
Mkuu una mawazo kama yangu.yani mi sikubàli in ten years to come lazima niwe na mjengo na ndinga kali za wizi
hakuna namna mkuu" kama huwezi kuwapiga unagana nao "" hakuna fursa nyingine zaidi ya hiyo "" .......ukizubaa unakufa masikini"""
 
Mzee Kazi Ya Ualimu Ni Nzuri Sana Basi Tu Tz Wanasiasa Wanachukulia Poa!Me Ni Mwalimu Tena Kijana!Sijutii Kusomea Ualimu Mbona!Izo VX na Nyumba Kali Mbona Hata Mtu Wa Kawaida ambaye hajasoma Anaweza Pata!Ni Kukomaa Tu Na Mitikasi ya Mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu. Una utofauti na walimu wwnzio karibu wa asilimia 98 waliochangia humu..mwalimu kama ww ndio hua mnaendelea badae.emu soma comment za wenzio utajua kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom