Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

Vipi mkuu una stress za kukataliwa na mwanafunzi wako wa darasa la Tano nini?


Mbona uko povu nyingi punguza munkali boss.
Naona thred yako inatrend.. Nikupe tu ushauri kidogo.. Maisha hayana formula moja kakangu.. Ila sishangai maana we ni Zero IQ..
 
itoshe kukuona wewe mjinga na huna elimu yeyote kichwani isipo kuwa una ajenda yako kuhusu walimu , maaana aliye soma na akaelimika hana mawazo ya kitoto kama yako, tambua taifa haliwezi kuwa na aina moja tu ya mahitaji , hata wewe kufika hapo umepita kwenye mikono ya walimu na hata aliye kufundisha huo u nesi wako pia ni mwalimu sasa sijui kichwani mwako una ongelea tabaka gani la ualimu

na wanao kuunga mkono nao ni wajinga wenzio na mmekutana eajinga watupu maana yeyote yule aliye msomi kapita mikononi kwa mwalimu kuanzia mwalimu wa daraja la chini hadi mwalimu wa daraja la juu sasa sijui kama wote wangetaka kusoma afya nani angekuwa mwalimu wao .. WEWE NI MJINGA NA MTOTO KIFIKRA kama sivyo huna elimu yeyote kichwani mwako au ni muhanga wa kukosa ajira ya ualimu kwa kusoma history na kiswahili hivyo una stress za maisha
Yy hakubisha hayo yote unayosema kuhusu umuhimu wa waalimu , issue inakuja VP kuhusu maslahi yao ? Ndio yy alipojikita hapo
 
Wengi watabisha ila huu ndo ukweli, maisha ya mwalimu, ni uakika wa kula, ila kumiliki vitu vikubwa ni ndoto.

Walimu wengi akijitahidi akajenga na kiduka kidogo, na kivits ingawa kwa mbinde, basssi, haya yote ilikuwa enzi za kikwete.

Hawezi kuwa mwalimu ukawaza mambo makubwa watu wanakubana usitoke stress tupu, maendeleo utayawaza lini?

BTW, nilikuwaga mwalimu, ila kwa kulazimisha sikuwahi kupenda Yale maisha hata mazingira kha, headmaster yeye ndo kama raisi ruhusa hanipi, niende kufatilia vyuo mjini, hataki niende kusoma, form zangu za kwenda masomoni hazisain, nguo anapenda nivae madela, siku nikisema wacha Leo, nivaepo nguo fupi hata kama ni ya heshima, ananiandikia barua ya warning, nilipataga nyumba mbali, nikichelewa hata dakika moja, nakuta kashaweka mstari wakati anajua walimu wote wanaishi shuleni except Mimi.
Nilichokaga hayo maisha, siku moja niliamua nikaacha kazi, nikasepa Chuo coz nyingine, sijawahi kujuta kuacha ualimu kha!
Ulidakwa vyeti feki sasa unalala kwenye kochi sebuleni kwa shemeji yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila kukicha watu kuzungumzia walimu tu sijui kwa mini!
Kwa sababu hawana maendeleo... Yaaan waalimu wangu kuanzia darasa la kwanza mpaka form six hakuna aliyekua na gari isipokua waalimu wa kike tu tena wenyewe ni baby car

Advance ni mwalimu mkuu wa kiume tu ndio alikua vizuri kidogo, waalimu asilimia kubwa taabani

Nimetembea mikoa karibu yote nchi hii nimeona hali za waalimu ni taaban, waalimu wa kike wanagongwa sana na wakurugenzi na wakuu wa wilaya ili wale mema out of that wana hali mbaya sana kimaisha

Trust me 2015 nikiwa Kigoma kikazi wakati wa uchaguzi mkuu nilikua kule kama domestic observer nikawa nahitaji waalimu kama 20 wa kunisaidia kua observers vituoni yaaan nilikua nafatwa hotelin hadi usiku wa manane na waalimu wakiniomba niwape kazi, aiseeee waalimu wapo taabani sana
 
Kwa sababu hawana maendeleo... Yaaan waalimu wangu kuanzia darasa la kwanza mpaka form six hakuna aliyekua na gari isipokua waalimu wa kike tu tena wenyewe ni baby car

Advance ni mwalimu mkuu wa kiume tu ndio alikua vizuri kidogo, waalimu asilimia kubwa taabani

Nimetembea mikoa karibu yote nchi hii nimeona hali za waalimu ni taaban, waalimu wa kike wanagongwa sana na wakurugenzi na wakuu wa wilaya ili wale mema out of that wana hali mbaya sana kimaisha

Trust me 2015 nikiwa Kigoma kikazi wakati wa uchaguzi mkuu nilikua kule kama domestic observer nikawa nahitaji waalimu kama 20 wa kunisaidia kua observers vituoni yaaan nilikua nafatwa hotelin hadi usiku wa manane na waalimu wakiniomba niwape kazi, aiseeee waalimu wapo taabani sana
Kwa hiyo unawasaidiaje?
 
Hivyo vitempo unavyopiga huwezi kulingana KIPATO na Mwalimu aliyefungua tuition centre na kujiajiri! Tatizo umekariri na unatumikishwa!! Eti kozi ya afya, ni ipi hiyo? Hata kuzibua vyoo ni kazi ya afya!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikienda duspensary naona manesi wamevaa raba zimepinda upande.Hakuna maisha mazuri kwa kwa mtumishi wa umma yeyote labda tra.Jambo la msingi ni kujiongeza na mishemishe zingine.
 
ulishauriwa vyema sana ungejuta sana hii kada haina adabu hata kidogo binafsi ni Mwalimu lakini machozi na damu yanayotoka hapana ajira toka 2011 mpaka leo nasota na tgts D ambayo walioajiriwa 2012,2013,2014 na 2015 ni hiyo hiyo mnalingana mshahara na mwanafunzi wako uliemfundisha nae akaja kuwa Mwalimu yaani digrii yangu ya ualimu naijutia sana! Fundisho kamwe siwezi ruhusu kabisa anaenihusu awe Mwl mshukuru sana aliekugonga kofi mana ulipata akili ya kudumu!
Tatizo mmekariri,mshahara siyo kitu cha msingi angalia investment zako.Hao unaowaona kitaaa na miduka,miscania mi hotel nao wamekopa wanakimbizana tu na mabenk dairly,Huo mshahara unatosha sana
 
Kwa hiyo unawasaidiaje?
Kuna wakati nilienda Dodoma kwenye seminar ambayo waalimu walikusanywa mmoja mmoja kutoka kata mbali mbali za mkoa huo kwaajili ya mradi fulani basi kufika pale jumlisha na kacheo nilikoendaga nako huwezi amini nililala na waalimu wanne halafu wamenizidi umri na ni wake za watu na wana watoto wao nyumbani all sababu ya dhiki... Na sio waalimu wa primary ni wa secondary school

Cha kuwashauri wajiongeze kwakweli ila ndio walishayavulia maji nguo nothing to do ndio wakubaliane na hali zao na hawa waalimu chipukizi waache kulemaa. Nina kaka yangu mtoto wa baba mkubwa anafundisha secondary yaaan ukimuona utadhan ana utindio wa ubongo, thinking capacity ipo very low yaaan
 
Sema tumo humu hatujuani! Kuna watu walikuwa wanapita kando ya Nyumba niliyokuwa namalizia kujenga wakawa wanabishana, mmoja anasema huyu ni Mwalimu mwingine anasema haiwezekani Mwalimu ajenge hekalu zuri na kubwa namna hiyo, pembeni kuna parking ya kufa MTU na Leo kuna usafiri pale si wa kitoto! Nikisikia watu humu wanabeza waalimu ninasema tu Mungu awasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo!! Ni kweli waalimu wanazo changamoto lakini hizo changamoto ziko kwa watumishi wote wa umma labda ukiacha mafisadi ambao kwa sasa wanapumulia kwenye mashine mbele ya JPM!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ungekuwa na mshahara mkubwa kiasi gani kama huna akili ni bure.Mfani mdogo tu huto Mh.Gidfrey Zambi R.C wa Lindi alipokuwa ameoigwa chini ubunge alikuwa kesha chizika ndani ya mwezi mmoja akawa ameuza matrekta kibao na asingekuwa magufuli kumpa u rc angekuwa amechizika sasa
 
Mzee Kazi Ya Ualimu Ni Nzuri Sana Basi Tu Tz Wanasiasa Wanachukulia Poa!Me Ni Mwalimu Tena Kijana!Sijutii Kusomea Ualimu Mbona!Izo VX na Nyumba Kali Mbona Hata Mtu Wa Kawaida ambaye hajasoma Anaweza Pata!Ni Kukomaa Tu Na Mitikasi ya Mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hao wanasiasa wengi hawana hayo magari labda ya kazini.mfano madc,wakurugenzi,marc kwa mishahara na posho tu kumiliki vx ni ndoto ya mchana
 
Hata hao wanasiasa wengi hawana hayo magari labda ya kazini.mfano madc,wakurugenzi,marc kwa mishahara na posho tu kumiliki vx ni ndoto ya mchana
Halafu Kijana Wa Madale Naona Kanunua VX Mpyaa Na Sio Mfanyakazi wa Serikalini
 
Katika kazi niliyokuwa naipenda kweli kweli basi ni uwalimu, hta pale nilipokuwa nasoma ndoto zangu zilikuwa siku moja nije kuwa mwalimu.

Nilipomaliza tu elimu yangu direct nikaaply education nikachaguliwa.

Kitu ambacho kilinishtua ni kwamba muda ambao nasubiri kwenda chuo nilikuwa kwa brother na bro alivyoniuliza nilimueleza nia yangu ya kusomea uwalimu.

Alinicheki kwa dharau alafu akanizaba kibao kimoja matata na kuniuliza umeshawahi kumuona mwalimu mwenye VX, au ata land cruiser aliyonunua akiwa kazini?

Nikamjibu hapana ?

Akaniuliza tena umeshawahi kumuona mwalimu alieyejenga nyumba ya kueleweka akiwa kazini?

Nikasema hapana.

Akasema basi achana na hilo wazo lako mfu jioni huyo kanipakiza kwenye mgari wake nasema mgari kwa sababu ni gari siyo ki vitz akanipeleka chuo na kuchukua moja kati ya kozi ya afya mukide kabisa.

Japo mpaka leo ajira hazijatoka ila napiga zangu temporary tu kwa wana leo napiga hapa kesho pale siku zinaenda ningesomea uwalimu sijui hiyo temporary ningepigia wapi na wakati sasa hivi elimu bure.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa una matus ya reja reja hivi walimu wamekukosea nini mkuu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu tunawapa changamoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom