mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,195
- 19,123
Hivyo vitempo unavyopiga huwezi kulingana KIPATO na Mwalimu aliyefungua tuition centre na kujiajiri! Tatizo umekariri na unatumikishwa!! Eti kozi ya afya, ni ipi hiyo? Hata kuzibua vyoo ni kazi ya afya!Mbona uzi unajieleza nilitaka kuchukua education bahati nzuri brother kaninjenchia nimebadili Course na kusomea mambo ya Afya aya now nipo napiga vitempo tu sina habari japo ajira mzozo.
Sent using Jamii Forums mobile app