Nashukuru kuwa hai

Nashukuru kuwa hai

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
Wana JF jana saa moja na nusu jioni best bite namanga nilipata ajali.
nilikuwa na drive kuelekea morocco ikatokea gari kwenye barabara
inayo tokea pembeni ya best bite ilikuwa mbio sana na ikanigonga
tairi la nyuma na gari yangu ika over turn na gari iliyo nigonga ikakimbia.
Nashukuri nilitoka salama na nina michubuko na nimeumia jicho la kulia.
Nimeruhusiwa hospitali leo jioni.Seat belt muhimu sana kuitumia la sivyo
ingekuwa habari nyingine.Roof ya gari iikuja chini levo ya seat
Nime log in kutumia jicho moja,JF kiboko
 
Ah! Aisee! Pole sana mkuu. Usijali mkuu kwani Mungu mkubwa utapata nafuu na utalog in kwa macho yote mawili. Ugua pole Mkuu!
 
Asante mkuu.
 
ugua pole kaka.... Unanikumbusha movie ya teminator....hahahhaa pole mkuu
 
pole sana. hawa wanaosababisha ajali na kukimbia mungu awalaani, ilishanitokea mimi mwanzon mwa mwaka huu
 
Its only God who keeps and protects us.
Unto Him be glory and honour kwa kukupa muda wa kumwabudi kwa dhati.

Pole mkuu
 
Pole sana mkuu, mshukuru Mungu kwani amekupa muda zaidi wa kuishi
 
Wana JF jana saa moja na nusu jioni best bite namanga nilipata ajali.
nilikuwa na drive kuelekea morocco ikatokea gari kwenye barabara
inayo tokea pembeni ya best bite ilikuwa mbio sana na ikanigonga
tairi la nyuma na gari yangu ika over turn na gari iliyo nigonga ikakimbia.
Nashukuri nilitoka salama na nina michubuko na nimeumia jicho la kulia.
Nimeruhusiwa hospitali leo jioni.Seat belt muhimu sana kuitumia la sivyo
ingekuwa habari nyingine.Roof ya gari iikuja chini levo ya seat
Nime log in kutumia jicho moja,JF kiboko

Pole sana, Mungu akusaidie jicho lako lirudi ktk hali ya kawaida, usisahau kumshukuru Mungu kwa kukuponya
 
Back
Top Bottom