Asante mkuu well saidNature ya familia zetu ndo chanzo cha haya yote, unakuta wewe ndio tegemeo pekee ktk familia wakati huo huna kitu sasa ikitokea umepigiwa simu na watu wa nyumbani kabla ya kupokea unaanza kuwaza kumetokea nini either kuna tatizo linahitaji utatuzi wa kifedha au matatizo ya msiba n.k
Sasa ili uondokane na tatizo kama hili kwanza kabisa unatakiwa kupunguza msongo wa mawazo. Pili, jitahidi kuwasiliana na ndugu mara kwa mara siyo wakati wa shida tu hii itakusaidia kuondoa hofu ya kimawazo hasa pale unapopigiwa simu na ndugu wa karibu. Tatu, ni kuwa tayari kufungua moyo na kujiandaa kisaikolojia hii itakusaidia kuongeza ujasiri wa kupokea taarifa yoyote bila kujari uzito wake. Nne, jitahidi kuwa na desturi ya kunywa maji mengi yatakusaidia kukabiliana na maradhi ya moyo pamoja na shinikizo la damu usipuuze maji ni tiba. Tano, jitahidi kujichanganya na marafiki don't stay idle alone hii itakusaidia kupunguza msongo wa mawazo na stress za hapa na pale.
Tafuta mpenzi kama huna tatizo. Una msongo wa ndani na wakuutoa ni mpenzi.Vimeo vipi mkuu sina mpenz wala madeni.
Kasema hata simu za wengine zikiita anashtuka. Sasa ata block vipi?Block incoming calls
Sina pressureKwahiyoo una presha hadi saizi
....jibu lako linaleta picha ya kwa nini unaishi kwa wasiwasi.Tatizo mshazoea ujanja ujanja tu mpaka ikitokea situation Kama hii unajua ni madeni,sina madeni mkuu sidaiwi popote
Asalam.
Wakuu tatizo langu nashtuka sana na ringtone ya simu yangu,yaan nikiskia tu imeita mi roho juu nashtuka hadi nahisi naweza kupata cardiac arrest baadae.
Nimejaribu kujikaza kwa muda lakini nimeshindwa,hapa nilipo simu yangu iko silent mode for the last few months lakini hili jambo bado tu linanitesa naweza sikia hata kwa simu ya mtu tofauti na yangu.
Naombeni msaada wenu wakuu nifanye nini kuepuka hili janga mtu unaweza kupotea hivihivi kizembe kabisa.[emoji22]
Mkuu huu ugonjwa wanguu kabisaa.Mimi nina ugonjwa wa kutopokea simu, inaweza kupigwa nikaiangalia huku nikisema nitampigia baadae. Halafu mwisho kabisa sipigi.
Inaweza kuchukua hata siku tatu hivi, halafu ndo naanza kuwatafuta watu walionipigia simu huku natunga uongo wa kwa nini nilikuwa sipokei.
Na nikiamua kutopokea hata apige nani sipokei kabisa, kila nikibadilika nakaa muda narudia tena hiyo hali,
Mkuu huu ugonjwa wanguu kabisaa.
Hadi leoo mpaka mda huu.
Ila msg ndo nita respond.
Kuna mda hadi best yangu kabisaa ananipigia sipokeii. Nitakuja kumtafuta after 4 days
Bas ushoga utakuwa unakunyemeleaHakuna kitu wala mtu anayenidai
Una negative attitude change hiyo kwanza.Ukweli saivi niko broke ila the most nahisi naweza pokea bad news
Dah!Ndiyo hivyo hivyo, simu unaiangalia mpaka inakatika, nakumbuka kuna kipindi nilishadumbukiza simu kwenye maji ili tu nisipokee simu.
Halafu unakuwa huna hata sababu ya msingi kabisa.