Nashndwa kumuacha licha ya yote haya

Nashndwa kumuacha licha ya yote haya

Kwa mwendo huowa kupachika mimba ndoa hutaki kazana watazitoa mimba zako/zenu nyingi tuuu.

in longrun itakula upande wa hao mabinti, yy atakamata mtoto mbichi kipindi hicho mshiko ushaeleweka

kwa sasa aache compe,man up,move
 
Babuyangu alikua nawake 6. Nakatika wakezake wote hao 6 akuna hata1 aliwai sijui kutoa mimba, sijui kuleta mimba, ndani ya familia(kuchepuka). Chakushangaza zaidi wakezake wooote 6 waliishi eneo moja, ila viumba tofauti tofauti. Unafaham siri yake kubwa ilikua nini?? MITISHAMBA. Mwanamke yeyote ule, bila tunguli siwakwako. Amini usiamini.
 
Mmezaliwa pamoja? Amka kijana hangaika na kutafuta pesa mke mwema atakuja hiyo si ridhiki yako Baba hamna mapenzi hapo kalaga baho
 
Habari wakuu. Mimi ni kijana, nina kazi nzuri tu inayoniingizia kipato cha kutosha.. Nina mpnz wangu ambae tulianza mahusiano nae mwezi March mwaka huu. Nilipanga yeye ndo aje kuwa mke wangu siku moja. Ila toka niwe nae sijawahi kuhisi raha ya mapenzi . Nliwah kugundua ana mahusiano mengne na watu wengine na pia kumfumania mara mbili na wanaume tofauti ila mara zote nimekuwa nikimsamehe akiomba msamaha.. Kilichonisukuma niandike uzi huu ni kitendo cha yeye kutoa ujauzito wangu wa miezi 3(japo sina hakika sana kama ulikuwa wangu) na tulikuwa tumeelewana kuulea. Nataman sana niachane nae ila kila nikijaribu kufanya hivyo najikuta naumia zaidi. Naomba ushauri nifanyeje kwan naogopa kuendelea nae kwa kuogopa makubwa zaidi
Yaani hadi unamfumania unamsamehe?
Atakuua kwa HIV huyu,achana nae
Ukirudi home pitia dukani nunua bia kibao
Anza kunywa,then lala
Week tu utamsahau
Mm ndiyo huwa nafanya hivyo
 
Maumivu ya kumwacha umpendae ni makubwa lakini ukijipa muda yanakwisha na maisha yanaendelea kuliko kuendelea kuwa na mtu atakayekutesa kwa maumivu hayo maisha yako
 
Maskini. Ushakuwa teja. Ikatae hiyo sauti inayokwambia huwezi kumuacha. Ni sauti ya kifo - kifo cha ndoto zako, hela zako, familia yako ijayo na hata mwili huko baadae. Shinda kwanza mtihani ulio nao ndo utafute mwanamke mwingine.
 
"...watu wote tuna vichwa ila ni wachache tu huwa wanafanya maamuzi sahihi kwa kutumia vichwa vyao...."

Abdi Jumbe Mwinyi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom