Nashndwa kumuacha licha ya yote haya

Kitendo cha kumfumania ni udhibitisho tosha hauko peke yako hata ukioa bado watapiga tu wa nje...na ukija hamaki utalea watoto wasio wako watakuwa wanakuchora tu jamaa zake...k
 
Watu kama nyie ndo mnafanyha nchi hii kila leo iendelee kuwa maskini ilhali maliasili tumezijaza hadi vunguni mwa vitanda. wanawake ni wengi kama mchanga wa bahari, kusini kaskazin mashariki magharibi wmejaa wanatafuta wanaume wa kuwa nao.i weje unaangaika na jike shupa,some times kuitwa mwanaume ni kuchukua maamuzi magumu no matter what,mapenzi sio primary goal ya wewe kuwepo hapa duniani kun avitu vingi vya kufanya.Me Kitendo cha kusikia sijui girlfriend wangu analiwa uroda na mtu ambaye ni tofauti na mimi ni kosa ambalo linaweza kuhatarisha uhusiano inapaswa aleete vidhibitisho beyond reasonable doubt kukanusha . Na kamwe husiruhusu mwanamke yoyote akuchukulie poa.Achana na huyo mwanamke fanya kazi ujiletee maendeleo wanawake wazuri watajileta
 
Aiseeee! wewe hii umetunga au kweli...Nilikuwa nasikia tu kuna mioyo ya plastiki.
 
hiyo ni kansa man endelea kuilea karibu itasambaa mwili mzima
 
Ukifikia uamuzi wa kuacha kazi nistue Mkuu nikamate fursa inabidi upumzike kwanza mpaka maumivu yatakapokwisha
 
Najua unampenda ndio maana unaumia. Lakin ukweli ni kwamba huyo dem ni kicheche......
Umemfumania mara mbili... this time katoa mimba yako. Braza wekanpemben.. ndio utaumia.. kwa muda.. ila bors kuliko kujutia milele
 
Mwambie aoe tu mkuu......
Mkuu usiwe Kama mtu Mpumbavu, Zuzu ambaye hujielewi, unamfumania mwanamke 2 times kabla ya ndoa hafu unakuja kuuliza ujinga hapa!!?
Wenzie tunazikimbia stress yeye anajifikiria jinsi ya kuendelea kumhifadhi msaliti..... Sasa ili amhifadhi vizuri amuoe tuu
 
Pole sana... kinachokusumbua wewe siyo kuachana nae... ni ile hali ya kumuona na mwanaume mwingine wakiwa na furaha baada ya hapo... Kuachana nae inawezekana ila itakubidi ukae mbali nae yani usijue chochote wala kufuatilia chochote kinachomuhusu yeye kaa mbali nae.. utaweza... Zaidi ya hapo unamjengea kiburi cha kukutawla...
 
Sku hizi naona unatumia kiswahili safi

freshprince_v_firered.jpg
 
usifikirie uzur wake... na mazur alofanya chukua Mabaya yake yafikirie kwa wiki moja tu na hop utaniacha
 
Habari wakuu. Mimi ni kijana, nina kazi nzuri tu inayoniingizia kipato cha kutosha.. Nina mpnz wangu ambae tulianza mahusiano nae mwezi March mwaka huu. Nilipanga yeye ndo aje kuwa mke wangu siku moja. Ila toka niwe nae sijawahi kuhisi raha ya mapenzi . Nliwah kugundua ana mahusiano mengne na watu wengine na pia kumfumania mara mbili na wanaume tofauti ila mara zote nimekuwa nikimsamehe akiomba msamaha.. Kilichonisukuma niandike uzi huu ni kitendo cha yeye kutoa ujauzito wangu wa miezi 3(japo sina hakika sana kama ulikuwa wangu) na tulikuwa tumeelewana kuulea. Nataman sana niachane nae ila kila nikijaribu kufanya hivyo najikuta naumia zaidi. Naomba ushauri nifanyeje kwan naogopa kuendelea nae kwa kuogopa makubwa zaidi
Mkuu hamna mke hapo ,mke gan mtarajiwa anaamua kutoa mimba bila kukujulisha kama kweli ni yako? Vinginevyo ilikuwa ya mwingine hivyo aliona mtoto atamuumbua kwa kutofanana na ww so akaamua alichofanya. Mbona mabinti wengi tu wanojielewa unahangaika na huyo malaya wa nn wakati hadi umemfumania twice bado unaomba ushauri? Kwel wana JF tuna kaz
 
subiri kwanza ukianza kwenda angaza ndio uachane naye! sawa???
 
Back
Top Bottom