Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,732
Nakuelewa sana coz nimewahi kuwa kwenye situation kama yako.
Lakini we mpige chini tu ndo solution huyo hiyo ni tabia yake hataacha. Kuumia utaumia sana lakini ni bora mara mia kuliko maumivu utayoendelea kuyapata kwa kuendekeza ujinga wa i cant let her Go.