Well, lemme let you in on a little secret, you can only trust if only you're trustworthy yourself. That's what i've learned in my adventures.
Ahhhhhhh!....mbona mimi sitafutwi jamani!!
humu kweli siku hizi kumejaa watoto.....mwanamke kapitia 3 relationships anaitwa 'malaya'???!!!!
Amwamini nani labda?
Aisee.......kuna mambo humu.......
btw.....habari za w/end.........?.......
Watatu tu.........
Kwa swali hili...inaonekana una msururu wa hataree.
Mimi huwa navumilia sana na nnapoona maji yamenifika shingoni huwa naamua kujiondoa
Na maybe tatizo langu kubwa panapotokea mikwaruzano katika kuisolve mimi huwa siwezi kulumbana hivo unakuta anachokieleza inabid nikubal na hata kama najua nadanganywa nkiuliza sana unakuta mtu anaanza kuongea kwa jazba hivo naamua tu kukaa kimya
Sometimes huwa nahic pia upole wangu ndo unachangia wao kuchukulia easy na kurudia yaleyale most of the time
weekend ndio imeisha,nimeitumia vizuri nimelala siku nzima....wiki naianza so fresh!
24+ amaanishe 34? Hmm.....
Mimi huwa navumilia sana na nnapoona maji yamenifika shingoni huwa naamua kujiondoa
Na maybe tatizo langu kubwa panapotokea mikwaruzano katika kuisolve mimi huwa siwezi kulumbana hivo unakuta anachokieleza inabid nikubal na hata kama najua nadanganywa nkiuliza sana unakuta mtu anaanza kuongea kwa jazba hivo naamua tu kukaa kimya
Sometimes huwa nahic pia upole wangu ndo unachangia wao kuchukulia easy na kurudia yaleyale most of the time
Habari za jumapili wana JF.
Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo .
Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa. Hii hali imenipelekea kutokuwa na imani kabisa na men.
Umefikia hatua hata wale wanaojitokeza kuhisi ni walewale wadanganyifu.
Kiukwel naogopa sana kuingia katika relation na nimekuwa mwoga na sielew huu uoga utaisha lini.
Asanteni.
Huyu sijui ni hasira za kukataliwa!! Anapita akitukana "ma.la.ya" wanawake kila uzi!!!