Nashindwa kuwaamini wanaume


hàpa umri wa hao unaowapata pia huchangia
 
sio kwa wanaume wa kizazi chetu, mtu anapretend hadi unasema mume ndo huyu

Just be good and be in good places. Wapo wengi tu.
Yani wewe uwe unafaa kwanza ndio utafute anaefaa.
 
Nahisi we ndio chanzo cha kuacha kama unakiwa mchoyo kwe ngozi yako unategemea nn
 
Tafuta na wewe mwanaume wa kumuumiza, ukishazoea kuumiza utaona sawa tu.
 
Jiangalie na wewe pengine waweza kuwa chanzo.
 
Sample size yako ya wanaume watatu bado ni ndogo saana.. huwezi kupata mwanaume mmoja wa maana kati ya watatu.
 
wakati wako bado ....... wewe unaunganganiza .......subiri wakati wako ukifika .....mungu atakuwa ameshakuandalia wako......hao sio wakoooo
 
Love is a WIN_LOOSE game, either you win or lose.

You're a loose n you will always loose until you know how to play this game.
 
Siku zote vidole havifanani, cha msingi kaa chini ujitafakari, je misingi ya relationship yako ilikuwaje
 
Yawezekana wewe ndo tatizo, kaa mbele ya "kioo" ujitafakari!
 
Wewe utakuwa MALAYA! 3relation??? kwa 24+ wote wana CHUNGULIA wanaondoka!!! ulianza nao lin? na ulkaa na wastn muda gan
 
Naamini mahusiano yako huwa unayaanzisha ka hasira na mara zote umekuwa mtu wakuangalia unachotendewa kuliko unachotenda...kwa sababu haiwezekan hata kidgo mahusiano yote na watu watatu ukapata maumivu kama wewe huna tatizo...usiwe kipofu wa lazima,angalia ww una mchango gan katika kuharibu au kuboresha hayo mahusiano...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…