Heargy da Best
Member
- Jun 23, 2015
- 48
- 10
Habari za jumapili wana JF.
Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo .
Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa. Hii hali imenipelekea kutokuwa na imani kabisa na men.
Umefikia hatua hata wale wanaojitokeza kuhisi ni walewale wadanganyifu.
Kiukwel naogopa sana kuingia katika relation na nimekuwa mwoga na sielew huu uoga utaisha lini.
Asanteni.
sio kwa wanaume wa kizazi chetu, mtu anapretend hadi unasema mume ndo huyu
tafadhali mkuu ebu tengua kauli yako,asitoe nini? unampotoshaSi wanaume wote ndo watakuumiza. Tatizo kubwa ni nyie kutoa tunda kabla hujaolewa, mwanaume akishakula na kusaza lazima abadilishe mlo. Ushauri wangu kwako na wengine; usitoe tunda kabl ya wakati wake, usiwe ombaomba wa vijisenti kwa mpenzi/mchumba wapo pia usiwe na papara kwa wanaume wengine. JITULIZE mpenzi wako atakuamini na utaolewa
tafadhali mkuu ebu tengua kauli yako,asitoe nini? unampotosha
Aliyekuumiza mmoja baby usichukie dunia nzima
hii inabidi tukudhamini kama lowasa ili uifungulie uzi"wanawake acheni ubinafsi"feity mama shida kubwa ni wewe kuamini kuwa kuna wanaume wenye mapenzi ya kweli na wewe kusahau kuwa unatakiwa kuwa na mapenzi ya kweli kwao...! Binafsi nijuavyo wanawake wengi muwabinfsi nyie kazi kudeka tuu na kungoja kupetiwapetiwa hii ndiyo sababu kubwa nyie wanawake mumekuwa mkilalamika na kuamini haujakutana na mwanaume mwenye mapenzi ya kweli...! Siyo siri mimi binafsi nimetoka kwenye relationship muda nimekutana na msichana mmoja ni mbinafsi sana.
labda ashinde magufuli ila akishinda lowasa mtatoa tuuHahahaaaaa!! Ndio hivyo hatutoiiiiiiiii
Watatu tu.........
labda ashinde magufuli ila akishinda lowasa mtatoa tuu
utamjulia ikulu usihofuLowassa!!! Ndio nani??
utamjulia ikulu usihofu
monduli ndo wapi? minaijua ya magogoniIkulu ya wapi? Ya monduli si eti?
eeeh! ashaanza kuitwa baby tenaAliyekuumiza mmoja baby usichukie dunia nzima