Nashindwa kupata usingizi kwasababu ya makelele ya baa jirani

Nashindwa kupata usingizi kwasababu ya makelele ya baa jirani

Kwani Huko ndio hakuna POLISI? Wale Jamaa wanapita usiku kwenye mabaa na kupewa pesa, nimewashuhudia wakienda Ibungu pale Mabibo mwisho, wanaanzia kigogo kule hadi Ubungo, wanaingia Sinza, wengine Wana deal na Tabata
Bongo ujanja mwingi
 
Yaani hawa jamaa wa misikitini wanakera mno, mtu hana la kufanya anawapigia watu kelele eti wasilale waende kuswali. nashauri serikali iwakamate na kuwafunga hawa mazwazwa......kama Zanzibar serikali inaruhusu wapuuzi kupiga watu mitaani kwa kula basi na hapa Bara tuwe tunawakamata na kucharaza bakora hawa wasanii wa kizazi kipya (wapiga makelele usiku misikitini).
Eti wasanii wa kizazi kipya.
 
Moja ya taasisi zilitakiwa kufutwa ni NEMC,
Miongoni mwa kada zinazotakiwa kufutwa na watu wake kupangiwa majukumu mengine ni msbwana na mabibi afya
Hawa wote kwa ujumla wao wapo maofisini kula rushwa za hao wenye miziki, wanakuambia jioni twende tukawakamate, mkiwa njiani wanawatumia meseji wazime muziki ili kupoteza ushahidi wa kwamba wanakelele
Hili ni jambo la kusikitisha sana Kwa taifa.
 
Hivi Sasa ni saa 2:30am sijalala kwasababu ya hizi kelele.

Ni kweli tunatamani nyumba zilizo karibu na barabara kwasababu ya huduma ndogo ndogo za kijamii, lakini Sasa hivi biashara nyingi ni baa, yaani kila baada ya nyumba nne ni baa.

Nilipohama ilikuwa ni kelele kuanzia mda ninaorudi nyumbani mpaka saa 6 mziki unazimwa na ni maeneo ya mongo la ndege ila huku nilipohamia ni makelele mpaka asubuhi. Yaani ni ubahatike usingizi ukupitie, maisha magumu sana haya this time Kodi ikiisha nitakuwa makini sana kuchagua chumba.

MUNGU anijalie nitimize malengo yangu nijenge huko kijijini masaki(chanika) nitakuwa na amani.
Unganeni mkafunguwe kesi mahakamani. Baa nyingi zimefungwa ata maeneo ya Sina sababu ya kelele.ni kosa baa kupiga mziki kwa sauti. Ni haki yenu kuishi bila kelele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom