mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,312
- 55,973
humu ndani kuna vituko,eti kumtengeneza mkia aaaaaa'kumtenngeneza mkia' ?
seriously?
humu ndani kuna vituko,eti kumtengeneza mkia aaaaaa'kumtenngeneza mkia' ?
seriously?
Inawezekana kweli nimeshawapotezea mda ila sihitaji kuendelea kuwapotezea.... Dini hairuhusu mkuu but I wish it could have been so.
Ila me nakushauri chukua huyo wife material,ucdanganyike na mkia,kama ni mkia hata mbuzi anao.
'kumtenngeneza mkia' ?
seriously?
When high emotions are involved, the brain has very little to do.
Mtu isipomfaa akili yake basi utamponza ujinga wake.
Unaposema hutaki kumpotezea muda mmoja wapo ni uongo, lazima hapo mmoja umwache tu. Kwa sababu wote ni wife material, owa ile kitu roho inapenda.
Want more advice?
Ukiachaga mihemko kumbe unakuwaga na ushaur mzuri eeeh.... Ila hakuna sehem nikiyosema nishamchagua.Usiudanganye moyo..huyo jamaa tayari ashachagua..anampenda mwenye mkia..akimwoa huyo wife material. .ninauhakika michepuko itakuwa haishi..ila akioa mwenye mkia nadhani atatulia..labda mkia awe ana tabia mbaya..lkn kwenye uchaguzi huwa moyo ndo unakuongoza..mengine ni uongo tu!
Sometimes Uislamu deal eeeh?
Haya kumekucha kutafutana mikia hahahahahahahahaahaha kweli wanaume wamebaki wachache wengi ni wavulana
Ahsante mkuu kwa ushauri.... Tatzo huyu model nikiwa nae kwa bed ukimkunja kidogo tu utasikia mifupa kha! Kha! Kha! Mpaka nahisi namvunja binti wa watu.
Nina wapenz wawili wote nawapenda sana.... Huyu wa kwanza ana mkia si haba na ndo ugonjwa wangu kwa kweli pia huwa na enjoy sana nikiwa nae karibu... Wa pili ni mwembamba haswaa na ni wife material jinsi nnavyomuona na nataman sana aje kuwa mke wangu tatizo ni huo wembamba wake... Je naweza kumuoa tu alafu ikawezekana baadae kumtengenezea mkia (kwa misosi lakin sio dawa za kichina) au ndo niendelee na huyu wa kwanza?
Sometimes Uislamu deal eeeh?