Nashindwa kujua nichague yupi

Nashindwa kujua nichague yupi

Unajisumbua kaka muhimu angalia atakae weza ish n mkajenga familia n co kitandni tuu
Wanawak ce michin ming cku hz had ugor unaongeza mkia
 
Nimekuelewa sana mkuu, tatizo huyu modo siku mbili tatu hz amekuwa na gugu sana sijui ananipima ama nn simwelew kabisa ila naenda nae taratibu tu... Huyu mwenye mkia elements za u wife material anazo ila kwa mbali kidogo lakin mi namkubali hivyo hivyo tu.

Hakuna haja ya kuumiza kichwa wewe unazunguka tu Ila mwenye mkia ndo kakuingia Sana.... Sijui wasubiri nini mshepu mwenye mkia maana hata mwenye uwife material unaeza shangaa ndani ya ndoa anakubadilikia wanawake wanafichaga makucha
 
Hakuna cha Tcra mkuu, huyo jamaa anaitwa mbuzi na kuku sasa bahati nzuri Id yake inaendena na mawazo yake, so usiwe na wasiwasi niko salama tu.

Mmmh haya buana maana mimi binafsi mil 7 Sina 💃💃
 
Hakuna haja ya kuumiza kichwa wewe unazunguka tu Ila mwenye mkia ndo kakuingia Sana.... Sijui wasubiri nini mshepu mwenye mkia maana hata mwenye uwife material unaeza shangaa ndani ya ndoa anakubadilikia wanawake wanafichaga makucha

Poa mkuu I'm sure within this Wk very difficult decision will be done.
 
Yes Dudu ila kwa mbaaali kdgo mfano ukikunja ngumi za mikono miwili ndo kijungu chake hicho.

Hahaha bas huyo nae mkare Koz mwanaume anasifiwa Kwa kumtunza mke. So kama hapo modo tu ana dalili means ukimpta mautram atapata zaid ya huyo mweny mkia.. Naturaleee
 
Duuu chukua wife material kijana wanawake ni watu wakubadilika km huamini oa huyo mwenye kiuno alafu mzalishe toto tatu hiyo figure 8 itakuwa 6
 
Duuu chukua wife material kijana wanawake ni watu wakubadilika km huamini oa huyo mwenye kiuno alafu mzalishe toto tatu hiyo figure 8 itakuwa 6

Ahsante Sirdi! Naheshim sana ushaur wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom