pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Hata dalili za anaekwenda kuchukua nchi huoni? shtuka aisee.
"Sura na shape kwanza" tabia utamnyoosha
Nina wapenz wawili wote nawapenda sana.... Huyu wa kwanza ana mkia si haba na ndo ugonjwa wangu kwa kweli pia huwa na enjoy sana nikiwa nae karibu... Wa pili ni mwembamba haswaa na ni wife material jinsi nnavyomuona na nataman sana aje kuwa mke wangu tatizo ni huo wembamba wake... Je naweza kumuoa tu alafu ikawezekana baadae kumtengenezea mkia (kwa misosi lakin sio dawa za kichina) au ndo niendelee na huyu wa kwanza?
Ungekuwa Kalibu Ningekupiga Na Soda Moja Barid Ya Kopo Achague Kwanza Lowasa Hao Wapenzi Atawachagua Baada Ya Tarehe 25 October
Hata dalili za anaekwenda kuchukua nchi huoni? shtuka aisee.
Unataka kusaidiwa kuchagua?
Hahahah....hata mm nimeshangaa'kumtenngeneza mkia' ?
seriously?
Chukua mkia rafiki tabia utainyoosha mwenyewe lakini cha msingi vipe furaha ya moyo wako
Kula kitu roho inapenda
Naomba niulize hili swali je unamfurahia?????Ahsante mkuu kwa ushauri.... Tatzo huyu model nikiwa nae kwa bed ukimkunja kidogo tu utasikia mifupa kha! Kha! Kha! Mpaka nahisi namvunja binti wa watu.
Mchukue model tu..tabia ndo msingi mzuri, mambo ya mikia watu wanapunguaga mbona AF inaisha tu...mikia ya muda! Mwanamke tabia njemaa!
Am out...
100-55= 45 means mkia ana 45 model ana 45,, nahisi unampenda sana model... But huwezi ishi na mwanamke asiye na mkia mrefu,, sasa jamani hii itakuwaje,!??Hapana Kiranga mm nahitaji ushaur tu afu maamuzi nitafanya mwenyewe... Hasa hasa kwa huyu model ambaye, kachukua 55% ya moyo wangu je nikimchukua naweza kumtengeneza akawa at least kama huyo wa kwanza?
Naomba niulize hili swali je unamfurahia?????
Mkuu Marco polo mm nasisitiza chukua kitu Moyo unataka, take/ choose what you feel in the inner part of ur heart, issue sio uwife material ishu ni how you will be ready to live at least first 5yrs bila kustuka au kujuta.na kuanza kusema this isn't real what I wanted.. Jamani sikuwa naelewa hii ila nilipokuja eleweshwa kwa vitendo nimeelewa, you will make her be ur wife material ," mwanamke ni km CD (compact disk) unarekodi unachotaka,,, maneno ya kakangu.