luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,788
Kwani kati ya lowasa na magufuli unampenda nani zaidi kwa moyo wako wote.
lowasa iyo haina mjadala
Kwani kati ya lowasa na magufuli unampenda nani zaidi kwa moyo wako wote.
Hapa sizungumzii sura dada maana wote wako vizur reception.
Maugwadu huwa yanasaidia kuwa boost wanawake kwenye hinye inasemekana lakin ila sina uhakika.Umtengeneze mkia kwani we Mungu.Umeaanza uumbaji lini tuanzie kwanza hapo
It depends na mtu kwani kuna mtu hata umnyweshe mafuta hanenepi kabisa kutokana na nature yake.Kuna mwingine akipata maisha mazur na stress free ananenepa mpk ukimwona unashangaa
Ni ushauri wa bure tu, oa modo coz kunenepa ni kurizika sidhani kama ni mwembamba kivileee. Huu ushauri nautoa kwa experience zifuatazo
1: wewe kama una mwili mkubwa chaguo lako ni modo ili kubalance sanabu ukiwa na kitambi ni rahisi kuwa kibamia so domo atafiti.
2: baba zako/ babuzako wote wanachreza mechi za ugenini na vimodo.
3: modo akinenepa kidogo kila nguo humpendeza.
4. Siku ya ndoa hubebeka vizuri
Ningekuwa mie nikemchua miss huwa siwachoki ila inasemekana akizaa huwa ovyo kabisaa
Uchague yupi???? kijana chagua Lowasa!!!
ndugu usimjudge MTU kwa physical appearance kwani hiyo hubadilika sana,utamuoa uyo mwenye inye halafu akishazaa utamchoka tu na utarudi kwa vimoso,SAA iyo haeleweki ni yuko Ka michelin hamu itaisha tu,
kuna Dada hapa jirani ni moja kati ya wanaotingisha mtaa kwa uzuri,Ila hiyo ni baada ya mamtorimtori ya uzazi mana ana kid mmoja,ungemuona sasa kabla hajaoelewa,yaani alikua kimbau amepigwaje pasi,lakini ukimuona huko chooni sasahivi yani hata siendelei manager ni mke wa MTU
ushauri oa Huyo wife material,physical outfit unaotaka itakuja tu,tena wao wakizaa hawazeeki haraka kama hao wenye miili mikubwa(no offence wangu ntamuoa na ana mwili) au waache wote tafuta mwenye inye na wife material japo itakuchukua mida sana na huenda usimpate
ili amuwekee mkia?Acha ujinga...chagua Lowassa
Kweli ccm ni janga la kitaifa, huwezi kutokua mwanachama wa ccm kutoa mawazo kama haya.
Huisha akili yako, chagua lowassa.
hivi huwa zinaliwa?Naomba huyo mwenye inya unipe mimi...
ili amuwekee mkia?