Nashindwa kujua nichague yupi

Nashindwa kujua nichague yupi

Ukikosea kuoa majuto yatakua ni sehemu ya maisha yako, tabia njema ni msingi wa ndoa imara, ila kama unatakujaribu ndoa/kuoa hufurahishe macho yako kwa vinavyoonekana kwa macho. Wife material utafurahia maisha pamoja nae kwa kuwa ana maadili mema, the choice is yours.

Uko stahihi kabisa mkuu ila wasiwasi wangu endapo nitamchukua huyu model afu uko mbeleni mageuzi (sio mabadiliko) yakashindikana si nitakuwa mtu wa kuchepukia kwa wenye mikia?
 
Duh..wembamba nao mbaya eeh.

Habaree ndo iyo. Me mwenyewe kwako nimevutika na huo "mkia" wako. Yani utadhani umefungasha screen la chogo! Tukiwaga 6*6 walahi huwa nahisi kama vile nabembea paradiso
 
Mpaka hapo tayari ushawapotezea muda.kama dini inaruhusu oa wote

Inawezekana kweli nimeshawapotezea mda ila sihitaji kuendelea kuwapotezea.... Dini hairuhusu mkuu but I wish it could have been so.
 
Habaree ndo iyo. Me mwenyewe kwako nimevutika na huo "mkia" wako. Yani utadhani umefungasha screen la chogo! Tukiwaga 6*6 walahi huwa nahisi kama vile nabembea paradiso

Asante hazbendi..hata mimi unanimaliza na mikunjo yako ile..aah niombe nini tena mie.
 
Nina wapenz wawili wote nawapenda sana.... Huyu wa kwanza ana mkia si haba na ndo ugonjwa wangu kwa kweli pia huwa na enjoy sana nikiwa nae karibu... Wa pili ni mwembamba haswaa na ni wife material jinsi nnavyomuona na nataman sana aje kuwa mke wangu tatizo ni huo wembamba wake... Je naweza kumuoa tu alafu ikawezekana baadae kumtengenezea mkia (kwa misosi lakin sio dawa za kichina) au ndo niendelee na huyu wa kwanza?

Lowasa anatisha mkuu
 
Umtengeneze mkia kwani we Mungu.Umeaanza uumbaji lini tuanzie kwanza hapo
 
Uko stahihi kabisa mkuu ila wasiwasi wangu endapo nitamchukua huyu model afu uko mbeleni mageuzi (sio mabadiliko) yakashindikana si nitakuwa mtu wa kuchepukia kwa wenye mikia?
Na ndio maana alimuacha yule dada aliyeishi nae miaka mitatu maana anadai hakukuwa na NAMNA angeishi naye angekuwa MTU wa kuchepuka saaaana.
 
t

IMG-20150131-WA0001.jpg IMG-20150131-WA0002.jpg

Ngoja nisome comment kwanza.
 
Umtengeneze mkia kwani we Mungu.Umeaanza uumbaji lini tuanzie kwanza hapo

Twende taratibu dada feitty... Ninachomaanisha hapa ni kwamba uwezkano wa huyu model kupata vinyamama uko mbeleni kwa misosi maalum upo?
 
It depends na mtu kwani kuna mtu hata umnyweshe mafuta hanenepi kabisa kutokana na nature yake.Kuna mwingine akipata maisha mazur na stress free ananenepa mpk ukimwona unashangaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom