Nashindwa kujua nichague yupi

Nashindwa kujua nichague yupi

Oa huyo mwembamba atakufaa, hakuna mtu mwembamba. Akipata mtoto huyo atanenepa. Ao tabia usioe sifa.
nina wapenz wawili wote nawapenda sana.... Huyu wa kwanza ana mkia si haba na ndo ugonjwa wangu kwa kweli pia huwa na enjoy sana nikiwa nae karibu... Wa pili ni mwembamba haswaa na ni wife material jinsi nnavyomuona na nataman sana aje kuwa mke wangu tatizo ni huo wembamba wake... Je naweza kumuoa tu alafu ikawezekana baadae kumtengenezea mkia (kwa misosi lakin sio dawa za kichina) au ndo niendelee na huyu wa kwanza?
 
Binadamu mna vituko nyie. Ndio maana paka wanajificha wakidoo mambo yao.Mbwa alimuuliza paka akamjibu nyie mnafanya hadharani bila kificho ndio maana wameiga doggy style.Sisi hawatupati kamwe. Mambo yetu siri sana.
 
mara ya kwanza kumpenda huyo modal (mwembamba) ulimpendea mkia au? kama hapana bas ulichompendea ndio kikufanye umuoe au umuache fanya maamuz magumu

Nilimpenda kwa vile ni wife material nikahisi naweza kumfanyia mageuzi (sio mabadiliko) huko mbelen ndo nauliza inatawezekana?
 
Nina wapenz wawili wote nawapenda sana.... Huyu wa kwanza ana mkia si haba na ndo ugonjwa wangu kwa kweli pia huwa na enjoy sana nikiwa nae karibu... Wa pili ni mwembamba haswaa na ni wife material jinsi nnavyomuona na nataman sana aje kuwa mke wangu tatizo ni huo wembamba wake... Je naweza kumuoa tu alafu ikawezekana baadae kumtengenezea mkia (kwa misosi lakin sio dawa za kichina) au ndo niendelee na huyu wa kwanza?
Sasa mkuu we nenda kwa wife material, TAFWAZALI NIACHIE HUYO MWENYE MKIA ILI NIMPEPEE NA UPEPO WA PESA!!! Niwekee namba yake PM mkuu!!
 
Sasa mkuu we nenda kwa wife material, TAFWAZALI NIACHIE HUYO MWENYE MKIA ILI NIMPEPEE NA UPEPO WA PESA!!! Niwekee namba yake PM mkuu!!

Nadiriki kusema kati ya ushaur wote niliopata humu ndani basi huu ni ovyo kabisaa kuusikiaga.
 
Nina wapenz wawili wote nawapenda sana.... Huyu wa kwanza ana mkia si haba na ndo ugonjwa wangu kwa kweli pia huwa na enjoy sana nikiwa nae karibu... Wa pili ni mwembamba haswaa na ni wife material jinsi nnavyomuona na nataman sana aje kuwa mke wangu tatizo ni huo wembamba wake... Je naweza kumuoa tu alafu ikawezekana baadae kumtengenezea mkia (kwa misosi lakin sio dawa za kichina) au ndo niendelee na huyu wa kwanza?

mwenyewe na tattizo kama lako. nashukuru kumbe tupo weng
 
dini gan kwani. we ZOA wrote khaaaaa au umekuja kututangazia Jf tujue???? kama una madem. jinga www. mm naoa wote. na badilisha tu dini hapa
 
Nina wapenzi wawili wote nawapenda sana.Huyu wa kwanza ana mkia si haba na ndo ugonjwa wangu kwa kweli pia huwa na enjoy sana nikiwa nae karibu wa pili ni mwembamba haswaa na ni wife material jinsi nnavyomuona na nataman sana aje kuwa mke wangu tatizo ni huo wembamba wake.

Je, naweza kumuoa tu alafu ikawezekana baadae kumtengenezea mkia (kwa misosi lakin sio dawa za kichina) au ndo niendelee na huyu wa kwanza?
Khaa!! Ungewaita wote wawili mshauriane pamoja
 
Nilimpenda kwa vile ni wife material nikahisi naweza kumfanyia mageuzi (sio mabadiliko) huko mbelen ndo nauliza inatawezekana?

mfanyie mabadiliko kwanza akibadilika ndo uoe usije ukachepuka bure..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom