Nashindwa kujua nichague yupi

Nashindwa kujua nichague yupi

Mkia kitu gani , angalia nani wife material ngoj aje akubadilikie coz ashajua umedata kisa mkia
😀😀😀😂 wanaumbhnaa
 
Hahaha kaka mi mwenyewe yamenikuta ila hao wa uzur wa maumbo wanasumbua.tulia na waifu material potii
 
Nina wapenzi wawili wote nawapenda sana.Huyu wa kwanza ana mkia si haba na ndo ugonjwa wangu kwa kweli pia huwa na enjoy sana nikiwa nae karibu wa pili ni mwembamba haswaa na ni wife material jinsi nnavyomuona na nataman sana aje kuwa mke wangu tatizo ni huo wembamba wake.

Je, naweza kumuoa tu alafu ikawezekana baadae kumtengenezea mkia (kwa misosi lakin sio dawa za kichina) au ndo niendelee na huyu wa kwanza?
kati ya hao wawili ni yupi ana mapenzi ya dhati kwako!!!!????
 
Kuna mmoja ashaanza kuniletea za kuleta nahisi soon atanirahisishia kazi yupi nimchague.

Ikitokea mwenye mkia akaumwa mpaka akapungua mkia ukaondoka itakuaje? Umeliwaza hilo?

Kama ndoa ni kufanya ngono peke yake basi muoe huyo mwenye mkia
 
Ikitokea mwenye mkia akaumwa mpaka akapungua mkia ukaondoka itakuaje? Umeliwaza hilo?

Kama ndoa ni kufanya ngono peke yake basi muoe huyo mwenye mkia

Mkia ukiondoka kwa kuumwa akipona si unarud mkuu? Au vepe?
 
taste za papuchi zao zipo je mkuu? ...siku hizi tunaangalia unato🙂
 
Modo mkuu mwenye mkia hata akineletea mazabe itabidi nijishushe tu maana mtoto si haba kwa kweli.

Sasa bro unataka nambia mwenye mkia akikosea uko radhi kujishusha Ila kamodo kakikosea ndo????? Inavoonesha unampenda mwenye mkia.... Cha msingi fuata moyo wako unasema nn.... Modo ni wife material Ila unapata kigugumizi kuwa nae na mwenye mkia ni mrembo Ila hujasema kama ni wife material Ila mwenye mkia waeza mfanya kuwa wife material.... Moyo wako ndo uamue ama vipi????
 
Nimekuelewa sana mkuu, tatizo huyu modo siku mbili tatu hz amekuwa na gugu sana sijui ananipima ama nn simwelew kabisa ila naenda nae taratibu tu... Huyu mwenye mkia elements za u wife material anazo ila kwa mbali kidogo lakin mi namkubali hivyo hivyo tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom